Rubawa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2015
- 2,055
- 3,254
Naomba mwenye ili game remix ya Mr Two Sugu ft chiz mabovu na Mwana East Zuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaitwa V2 FT MZEE CHUCHU WIMBO UNAITWA NASONGA MBELE SAKUA KWENYE GOOGLE UTAUPATASalaam Wana Jf! Naomba Mnisaidie Jina La Wimbo Na Mwimbaji Alieimba Wimbo Japo Nilikua Bado Mdogo Sikuweza Kukariri Vizuri! Wimbo Upo Hivi
*maisha Yangu Bila Ya Weee
*nitakua Kifaranga Cha Kukuu
*mbele Yako Ewe Bwana Mwewee
*ntawaachia Hao Wenzanguuu
*wajaribu Kuishi Na Weee.
Nihayo Tu Nnayo Kumbuka, Kwenye Miaka Ya 99 Na 2000 Niliusikia Sana! Hivyo Waungwana Naomba Kujuzwa
Nashindwa kuupakia hapa, JF app Inakataa sijui tatizo ni nini.Nautafuta wimbo captain komba hatunywi sumu hatujinyongi Ccm Ni Ile ile
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakazia hapaWakuu kama kuna mtu ana wimbo wa Mapacha unaitwa SIKU HAZIWEZI FANANA wameshirikishwa katika huo wimbo nimeutafuta mno nimeshindwa kuupata nimekuja huku najua hakuna linaloshindikaana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nami naitafuta atakaenilitea atapata soda...Oohooo[emoji23][emoji23][emoji23]Asante mkuu.
Sasa nakupa kazi ngumu..ukiiweza tu hata kabla sijaiona zama PM nitumie namba ya M-pesa.
Naomba wimbo huu kwenye pichaView attachment 1355399
Kizibo
Aurlus Mabele - Evelyne
Jamani mwenye kujua sehem ambako unapatikana wimbo wa NE MO feat DULLY SYKES unaitwa vumilia.nimeutafuta kwenye mitandao mbalimbali hadi you tube sijauona.tafadhari naomba kwa yeyote mwenye wimbo huo.aweze kuuweka hapa.
WIMBO WA BIZ MAN ISHARA YA UPENDO NIMEUPATA KWA KUSOTA SANA NA KWA KUUNUNUA ANAYEUTAKA TUTAFUTANE.