Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Zion mkushi , idimi, Mtu mpole
Naomba Nyimbo za unique sisters tafadhari na ngoma moja wako na dudu baya inaitwa sikutaka kugombana nawe
 
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.

Ninalinga mm nchi yangu tanzania yenye sifa zote za kujivunia ninaringia rangi yangu nyeupe kilimanjaro ..........
Tafadhar naomben wimbo maana ata jina cujui umeimbwa na band cjui inaitwaje
 
Kuna ngoma ya kiganda nakumbuka chorus tu "Yeni gwembanesiga oba ani anakumanze mbuza oya atatambule kati mubanji nesige ani" nimeitafuta sana bila mafanikio.
 
Back
Top Bottom