Alpha Malima
Member
- May 24, 2011
- 84
- 89
Kuna wimbo huwa nautafta ila siujui hata jina ila una meneno haya "nitaliaa... Nitakapockia... Nmeunganishwa na jina lako" ameimba dada mmoja hata cmkumbuki jina mwenye kuujua tafadhali.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
izo nyimbo zipo YouTube zoteNaomba hizi nyimbo wakuu..
Mad ice ni wewe
Na pia mad ice ready for dis.
He he! Ziweke hapa Kama zipo Sasa..😅izo nyimbo zipo YouTube zote
Unamaanisha ule wa Alpha Blondy - Sweet fanta diallowakuu mimi kuna nyimbo natafuta ila naijua kiitikio tu kinasema hivi-
fii fii fantatialo uu fantantialo fii fantatialo
nahisi kaimba mwanamke ile nyimbo
Unamaanisha ule wa Alpha Blondy - Sweet fanta diallo
Yap!MwananGu umetisha kumbe yule anaitwa alpha blondy ?
ahsante mkuuYap!
Ninao ila nashindwa jinsi ya kuuweka hapa. Download Youtube upo
Bila shaka ni huu "The Verve - Bitter Sweet Symphony". Angalia pia video yake. Ni nzuri sana.Mimi natafuta wimbo originala wa ile beat ya SOLO iliyoimbwa na Jason derulo
Nimependa jinaWakuu naomba mwenye wimbo wa Bahati Bukuku ndani una mistari hii wanawake waliookoka kweli wana raha
Wanaume waliookoka kweli wana raha ukiangalia matendo yao jamani yanavutia maana Yesu ni kinga yao hawabahatishi
Wanaimba wanasifu wamepata kwa Yesu
Nipate jina la wimbo au link niudownload
Karibu sanaNimependa jina
stable woman
Ni tabia halisi za mtu ndio zimebeba hilo jina!Shukrani stable woman
Nini kipo nyuma ya hili jina
Ok stable woman ngoja niwaachie wazee wa masongNi tabia halisi za mtu ndio zimebeba hilo jina!
Unaitwa naomba niulizeWakuu naomba mwenye wimbo wa Bahati Bukuku ndani una mistari hii wanawake waliookoka kweli wana raha
Wanaume waliookoka kweli wana raha ukiangalia matendo yao jamani yanavutia maana Yesu ni kinga yao hawabahatishi
Wanaimba wanasifu wamepata kwa Yesu
Nipate jina la wimbo au link niudownload
Wow! Stay blessed nimeupataUnaitwa naomba niulize
Nilitaka niuattach hapa ila umegoma