Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna video clip ya Mtoto mmoja msichana wa DRC(congo) Akisoma mashairi yenye ujumbe mkubwa kuhusu hali iliyo congo . Ni clip ambayo huyo mtoto anayasema(soma) hayo mashairi kwa kichwa na niya lugha ya kiswahili .. Mazingira aliyoko mtoto huyo niya kijijini ambacho kuna ukijani sana na kavaa kigauni kichafu,amekaa kihuruma . na kuna vitoto vya mbuzi vikipita pita.
Hi clip naitafuta sana nimehangaika huko youtube kutafuta kwa kila njia sijabahatika ipata.. Mwenye kuwa nayo naomba nisaidie hapa au ni search kwa njia ipi.
Wait
 
.
tapatalk_1588775902917.jpg
 
Mkuu ukinisogezea hizi ngoma itakua poa sana

1. Sick of being lonely-Field Mob
2.Friend like me-Wayne Wonder
3. Love song- Etana
4. Weakness in me -Etana
5. Dont let go -En Vogue
6. In my bed- Rotimi
7. Neck of the woods- Birdman
8. Leta wimbo -Sema
Natanguliza shukran zang

Acha uvivu nenda huko YouTube.. kuna watu sijui hawjasoma title ya hii post? Ingia YouTube na Google kabla hujaleta pua yako huku kujaza post tuu
 
Acha uvivu nenda huko YouTube.. kuna watu sijui hawjasoma title ya hii post? Ingia YouTube na Google kabla hujaleta pua yako huku kujaza post tuu
Mkuu sio kwamba sijaenda Youtube kutafuta hii list, msingi ni kuwa nahitaji ngoma hizo in mp3 format ndio maana nimeziomba
 
Back
Top Bottom