Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Oii Oii... Enjoy Mzee,, Hii Ngoma Niliitafuta miaka 7 Nyuma... Juzi nimekuja Ikuta Kwa Jamaa Ambaye Hanaga Mda Na Mziki Kabisa[emoji23][emoji23]
WaitKuna video clip ya Mtoto mmoja msichana wa DRC(congo) Akisoma mashairi yenye ujumbe mkubwa kuhusu hali iliyo congo . Ni clip ambayo huyo mtoto anayasema(soma) hayo mashairi kwa kichwa na niya lugha ya kiswahili .. Mazingira aliyoko mtoto huyo niya kijijini ambacho kuna ukijani sana na kavaa kigauni kichafu,amekaa kihuruma . na kuna vitoto vya mbuzi vikipita pita.
Hi clip naitafuta sana nimehangaika huko youtube kutafuta kwa kila njia sijabahatika ipata.. Mwenye kuwa nayo naomba nisaidie hapa au ni search kwa njia ipi.
Nenda google hukoJordan ft ngwair bila ww
kwanini mkuu?Huu uzi ulipandishwa kipind hamna YouTube au?
Nyimbo zote zipo yuchubukwanini mkuu?
NATAFUTA ALBUM YA NYIMBO ZA KATOLIKI ALBUM ILIKUA INAITWA -NENO LAKO TAA YANGU
Mkuu ukinisogezea hizi ngoma itakua poa sana
1. Sick of being lonely-Field Mob
2.Friend like me-Wayne Wonder
3. Love song- Etana
4. Weakness in me -Etana
5. Dont let go -En Vogue
6. In my bed- Rotimi
7. Neck of the woods- Birdman
8. Leta wimbo -Sema
Natanguliza shukran zang
una uhakika mkuu!?Nyimbo zote zipo yuchubu
Kiasuna uhakika mkuu!?
Mkuu sio kwamba sijaenda Youtube kutafuta hii list, msingi ni kuwa nahitaji ngoma hizo in mp3 format ndio maana nimeziombaAcha uvivu nenda huko YouTube.. kuna watu sijui hawjasoma title ya hii post? Ingia YouTube na Google kabla hujaleta pua yako huku kujaza post tuu
Nadhani unaitwaNatafuta wimbo wa mangwair na mirror....
Jina ni ::: Bila wewe