Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wimbo mmoja hiv kwenye bong movies ya mr Ebo alikua anamtaka binti akamkan akakacha shule na mwishowe wazazi wakamzingua sas alip mkosa binti akaingia ndani akaplay nyimbo moja kwenye Cd ya kizungu ilikua kama inamantik ya kujutia makosa kama unaijua hata movie hiyo niambie ntachek
 
Rock me rock me, music rock me rock me walikuwa wanaimba hivyo, sijui nimepatia! Music nahisi ni kutoka africa magharibi
 
Bwana amelituma neno lake.
Wimbo unaitwa 'fadhili za Bwana'
 
Jina siujui unaimba " Haijalishi we ni nani, haijalishi wewe tajiri au maskini ukipata ukimwi ni kifo". Mwenye kuujua huo wimbo tafadhali aniambie.
 
Jina siujui unaimba " Haijalishi we ni nani, haijalishi wewe tajiri au maskini ukipata ukimwi ni kifo". Mwenye kuujua huo wimbo tafadhali aniambie.
 
Kuna ngoma inaitwa NILISOMA NAYE ya Soggy Doggy...aisee naitafuta sana, kila site siipati.
 
kuna nyimbo naitafuta ila sijainyaka manen yake ila kuna sehem anaimba hey hey nananana hey hey nanana ahhhh ahhhh
Tumia SHAZAM mkuu. Download toka playstore na ukiusikia ukipigwa fungua shazam itaunyaka na kukupa jina lake. Ila nahisi huo wimbo utakuwa "La La La wa Naught Boy ft Sam Smith". Unapigwagwa sana night clubs hasa strippers club.
 
Back
Top Bottom