Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Mimi natafuta wimbo ambao ameimba Mzee Yusuph kwa kushirikiana na marehemu Omary Kopa unaitwa KINDUMBWENDUMBWE. Na pia wimbo wa Marehemu Omary Kopa unaitwa KAMA NOMA NA IWE NOMA.
 
Mimi natafuta wimbo ambao ameimba Mzee Yusuph kwa kushirikiana na marehemu Omary Kopa unaitwa KINDUMBWENDUMBWE. Na pia wimbo wa Marehemu Omary Kopa unaitwa KAMA NOMA NA IWE NOMA.
 

Attachments

Wakuu Kuna Ngoma Walishirikiana Ali choki, Banza stone Na Muumini Mwinjuma ni Rhumba flani nzur sana Mwenye Nayo Aitipie hapa
Mkuu uko kimya, huo wimbo uliupata?

Ama ni huu hapa!
 

Attachments

Mkuu uko kimya, huo wimbo uliupata?

Ama ni huu hapa!
Baadhi ya mashairi ya banza stone yapo hivi
Mwanamasanja jeneral vumiliaaaaa uliyataka mwenyewe.
Pia naomba wimbo wa TAM TAM unaimbwa hivi JJ zawadi ya watanzania tuflahi zawadi ya watanzania.
 
Hello??? .... Mwnye video ya Nikko mbishi- PLAYBOY naomba anitumie humu ama link yake mana you tube nimeikosa
 
Natafuta nyimbo ya zamani sana aliimba Joy na Mabuga siijui inaitwaje ...nakumbuka kuna kipande waliimba "kwaheri bwana mabuga"
"usiondoke usiondoke"
 
Natafuta nyimbo ya Joy na Mabuga, sijui inaitwaje, nakumbuka baadhi ya vipande vyake tu..
"Kwaheri bwana mabuga"
"usiondoke usiondoke"
"Umezoea vya kunyonga mabuga vya kuchinja vimekushinda"
Inaanza kwa sauti ya mdada analia.
 
Back
Top Bottom