Mtoboa siri
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 214
- 804
Mimi natafuta wimbo ambao ameimba Mzee Yusuph kwa kushirikiana na marehemu Omary Kopa unaitwa KINDUMBWENDUMBWE. Na pia wimbo wa Marehemu Omary Kopa unaitwa KAMA NOMA NA IWE NOMA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks man! saluteLakini auchuji vizuri
unaitwa RDC by Jb mpiana, upo google tu attachment inafeliMkuu kuna wimbo flani nadhan ni wenge bcbg unaimba "baswahi batakingalaba, baswahili batakingalaba, eliiiiiiiiiii..... . Nipatie tafadhali.
Huu hapa mzeeNatafuta wimbo wa Deo Mwanambilimbi unaitwa "Ochona"
Jamani hakuna mwenye huu wimbo?Running to you by chike ft simi mwenye nao msaada tafadhali nimeshindwa ku download YouTube
Mimi natafuta wimbo ambao ameimba Mzee Yusuph kwa kushirikiana na marehemu Omary Kopa unaitwa KINDUMBWENDUMBWE. Na pia wimbo wa Marehemu Omary Kopa unaitwa KAMA NOMA NA IWE NOMA.
Mkuu uko kimya, huo wimbo uliupata?Wakuu Kuna Ngoma Walishirikiana Ali choki, Banza stone Na Muumini Mwinjuma ni Rhumba flani nzur sana Mwenye Nayo Aitipie hapa
Unakwama wapi kudownload kwenye YouTube?Jamani hakuna mwenye huu wimbo?
Huu hapa ninautafuta. View attachment 1792509
Ungekuwa unaufahamu jina la huo wimbo ingekuwa rahisi kuutafuta sababu nina nyimbo nyingi.
Mie naimba namba Yako ya wasapNina nyimbo nyingi za MP3 za aina mbalimbali Zilipendwa, Bakulutu, Bongo Flavour, Charanga, Reggae, Twist, Kwaya, Taarab, R&B, Mduwara, nyimbo za Kihindi, Kiarabu nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baadhi ya mashairi ya banza stone yapo hiviMkuu uko kimya, huo wimbo uliupata?
Ama ni huu hapa!