Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wanajamii kama Heading inavyosema nisaidieni Mwenzenu Nahitaji nyimbo za kwaya/Dini ya Roman Catholic kama unazo nisaidie ku upload hapa nami nitasave!
Mbarikiwe katika Jina La Bwana!
MKATOLIKI

Kuwa makini broh. Unaweza ukadownload hata nyimbo buku, lakini huyo demu wa kikatoliki unayejaribu kumu impress bado akakuacha. So nenda mdogo mdogo, Anza hata na nyimbo chache, asikumalizie bando
 
Halafu kuna wimbo mwingine wa kwaya ya masista watupu, wanaimba huku wakiwa wanapiga tarumbeta, wamevaa mavazi yao ya u-Sister halafu wamependeza utadhani ni Malaika wameshuka kutoka mbinguni. Nilikuwa nao niliurekodi kutoka kwenye Tv lakini bahati mbaya baadaye nikaupoteza, na title yake siikumbuki na hivyo siwezi hata kuutafuta kwenye youtube
Dooh, sema kuna kwaya nyingi sana za masista, ila ukienda YouTube ukaandika "kwaya ya masista" zitakuja nyimbo nyingi sana
 
Dooh, sema kuna kwaya nyingi sana za masista, ila ukienda YouTube ukaandika "kwaya ya masista" zitakuja nyimbo nyingi sana
I see nashukuru sana umenisaidia. Tayari nimeshaupta ni masista wa Kipalapala Tabora. Huu hapa


 
Huu wimbo ulinitoa machozi, jina limenitoka. Nisaidieni unaitwaje? Biti lake linahuzunisha sana. Please nisaidieni.

Kaimba fid q, god zilla na mwingine mmoja nimemsahau. Ni hip hop iliyotulia sana.

Nakiri sijui na nipo tayari kujulishwa.
 
Kuna nyimbo nimewahi kuwa nayo kwenye Kanda yangu iliyoimbwa na Mh Temba nachokumbuka jina ni kama kifo ila kila nikitafuta huko google sipati nyimbo hii.
Mfano wa mistari yake ni pale alipolalamika rafiki yake amechikuliwa na kifo na jana tu alikuwa ameongea nae.
Kifo ww ni nani mbona una.......
 
Kuna wimbo natafuta aliimba nani? Ulitoka nakumbuka kama 2004 "mama hauko nami ndio maana nateseka ulimwengu utakuja kuona"
 
Habari zenu wandugu,nautafuta sana wimbo wa stanboi sweetgirl,
na mwingine sikumbuki unaitwaje ila chorus yake inaimba "maumivu ya mapenzi ni bora mtu akuungeze na moto,"zipo mbili ila nahitaji ile OG,
Natakunguliza shukran za dhati
 
Habari wa kuu, kunawimbo wa machozi band kwa jina siujui , nimejaribu kuutafuta kwa lyrics zake bila mafanikio , kwa anayeujua naomba anisaidie . Baadhi ya maneno ya wimbo huo ni haya "moyo ni nyama tupu , ukioza wapotea haibaki mifupa , nakukabidhi uutunze" inawezekana lyrics sijapangilia vizuri , natanguliza shukrani
Mkuu ukiupata huo wimbo nisogezee nami tafadhalo
 
Habari wa kuu, kunawimbo wa machozi band kwa jina siujui , nimejaribu kuutafuta kwa lyrics zake bila mafanikio , kwa anayeujua naomba anisaidie . Baadhi ya maneno ya wimbo huo ni haya "moyo ni nyama tupu , ukioza wapotea haibaki mifupa , nakukabidhi uutunze" inawezekana lyrics sijapangilia vizuri , natanguliza shukrani
Yani nashindwa kuweka huu wimbo hpa.
 
Wakuu,kuna wimbo fulani wa kizamani aliimba mama/dada fulani, ni wimbo filani hivi wa taratibu na wa kubembeleza, kwenye korasi anasikika kama anasema/anaimba

/Ooh nganda yaoo.../
/.....................................
Oya nganda yaoo../
...................................
.....ngandayo aaeeeeh.

Halafu kanafata ka-guitar fulani hivi katamuuu
Mpongo Love-Ndaya
 
Back
Top Bottom