Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo wimbo ni wa katoliki??? Ule nitakwenda mbingini kwa baba, kwani nasikia kuitwa nae,huko ndiko wanyonge hucheka wenye kulia hufutwa machoziAisee kuna wimbo nautafuta siupati unaimba 'nitakwenda peke yangu nasikia kuitwa naye' ni wa dini anyone anisaidie tafadhali..
Mambo kwa soksi by Remmy OngalaHuu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Hapana wa kirutheri kkkt I mean. Na hauna io verse.Huo wimbo ni wa katoliki??? Ule nitakwenda mbingini kwa baba, kwani nasikia kuitwa nae,huko ndiko wanyonge hucheka wenye kulia hufutwa machozi
Aah okHapana wa kirutheri kkkt I mean. Na hauna io verse.
hi nyimbo nilikuwa naitafu ta sana,
HiiRecho replay
Nenda YouTube utaikuta