Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Ni nani waliimba wimbo Fulani wa zamani miaka ya 80s au 90s una maneno Chawa na Panya waliishi nyumba Moja....samahani sana..samahani sana!!..
 
Kuna nyimbo moja ya amapiano beats linapiga mda mrefu then kuna mdada kavaa kimini anacheza airport kwenye runway, lugha kireno kama sijakosea, ila beat nzuri sana, mwenyewe kuujua jina anitumie au kama unao nitumie
 
Pole kaka... ngoma hiyo enjoy !!View attachment 2580586
Kaka naweza kupata na wimbo wa hip hop wa zamani miaka hiyo hiyo ya 2001, 2002, had 2005, "jamaa Anaitwa Jango man kama sikosei, sauti kama ya Dazi baba kiitikio ni Tulia Tulia nami Suzzy nataka uwe wangu Mimi Suzzy wamekwisha sema mpaka wamechoka penzi letu halitoweza vunjika.." baadhi ya mistari anasema " moja ya hoja, mbili shahili..mistari yake mingi imenitoka lakini wimbo unaenda kwajina la Suzzy.
 
Wadau kwema? Mnisaidie Kuna instruments fulani, za south Africa zilitumika Sana kwenye maharusi zaman miaka ya 1990 Hadi 1998 Hadi 2000. Watu walizitumia Sana kwenye maharusi na watoto walikuwa wakizicheza kama shoo kwenye maharusi au sherehe.. saxophone, guitar na kinanda ndiyo vilitumika Sana kwenye hizo instruments... Albam nzima ilikuwa ni beat tu..
 
Natafuta ile original version ya "Tabata New Life - Sipati Picha" ile yenye quality nzuri maana hizi zingine zote naona sound haiko na quality nzuri..
 
Natafuta Kuna instruments fulani hivi zilitumika Sana kwenye masherehe na maharusi ni za south kama sikosei, alubam nzima ilikuwa ni instruments tu.. saxphone, guitar, kinanda ndiyo vimetumika kwenye hizo instruments..nawatoto walicheza Sana kama shoo za masherehe mbalimbali..zilitoka mia ya 1990 hadi 2000 mwanzon..then zikapoate kabisa...nimezimiss Sana naomba tafadhali kama ipo nipate msaada.
 
Natafuta wimbo ulikuwa unaimbwa hivi:
Enyi wakwe na mkumbuke, mimi naye tunapendana, mpaka pete tushavikana, ninashindwa hata kuelewa, kujasikia mpenzi kaolewa, amakweli fedha fedheha nasikitika fedha fedheha
 
Natafuta wimbo kama wa hip hop fulani hivi, waliimnba:
Yaani kidume mzima nivunje amri ya sita aah hapanaa, aah hapanaa
 
Wadau kwema? Mnisaidie Kuna instruments fulani, za south Africa zilitumika Sana kwenye maharusi zaman miaka ya 1990 Hadi 1998 Hadi 2000. Watu walizitumia Sana kwenye maharusi na watoto walikuwa wakizicheza kama shoo kwenye maharusi au sherehe.. saxophone, guitar na kinanda ndiyo vilitumika Sana kwenye hizo instruments... Albam nzima ilikuwa ni beat tu..
 
Huu wimbo unaitwaje,nimeona kipande kifupi TikTok? Aliyenao naomba
 

Attachments

  • VID-20230501-WA0019.mp4
    6.8 MB
Back
Top Bottom