Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Habari wakuuu kwanza nawapenda Sana
Samahani kuna wimbo nautafuta Sana halafu Sasa nimesahau aliuimba Nani
Ila kuna sehemu wanaimba hv
"I lavyuu Maria debodeboooraa ailavyuu Maria debodeboooraa...Maria debodeboooraa Maria debodeboooraa....
.....
Mwenye anaeufahamu aniambie jamani plz
uli upata huu wimbo?
 
Kuna ngoma flani ya kitambo sana ya wazungu wanaimba wamevaa zile nguo za pundamilia nadhani za wafungwa,ni ya hip hop,washkaji wanatoroka jela wamevaa hvo nguo,,,pia Kuna kipande mshikaji anaimba huku Yuko ndani ya maji mwenye kuikumbuka tafadhali anisaidie
 
Kuna ngoma za v.2 akiwa na yusuph chuchu heart beat record zanzibar nisaidieni mwenye nazo!
 
Kuna ngoma flani ya kitambo sana ya wazungu wanaimba wamevaa zile nguo za pundamilia nadhani za wafungwa,ni ya hip hop,washkaji wanatoroka jela wamevaa hvo nguo,,,pia Kuna kipande mshikaji anaimba huku Yuko ndani ya maji mwenye kuikumbuka tafadhali anisaidie
mase ft the lox and dmx -24 hrs to live
 
Salamu nishamuachiaga GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama akiwemo Cognizant


Ndugu zangu wapenda Burudani ya muziki hasa muziki wa Bongofleva wa miaka ya nyuma (Old skool).

Kuna wimbo unaitwa "NIPE NAFASI" umeimbwa na msanii TID akiwa amemshirikisha Fid Q,huu wimbo nimejaribu kuutafuta kwenye kila Platform ya kuuzia miziki lakini sijafanikiwa kuupata,sijaelewa shida ni nini kiukweli hadi huo wimbo kukosekana kwenye Platform hizo!.


Naomba kama kuna member yeyote ambaye anao huo wimbo au anaweza kuupata popote anisaidie kunitumia hapa maana ninaupenda sana na unanikumbusha mambo mengi sana!.

Nawasilisha!
hapa utapata vitu quality tu...😀
 
Habari zenu humu. Ndugu zangu wa hip hop.

Msaada kidogo, mwenye video ya nako 2 nako HAWATUWEZI tafadhali naiomba.

Nimetafuta bila mafanikio. youtube waliishusha haipo tena sijui kwanini. msaada tafadhali,labda kuna mtu anayo kwa simu,pc au vyovyote vile.

Asanteni.
 
Mim natafuta wimbo wa kwenye tangazo la tusker lager, sijui aliimba T.I.D ukiachana na ile version ya wakenya. Unaimbwa
"Kama ni kufananisha..... kama jabari
Hatuteterekii, hatusambaratiki...
Twende pamojaaaa, bega kwa begaaaa

Marafiiiiiki halisi....."
Huu wimbo uliupata?
 
Taifa la bongo Born town clan feat Noorah& Sumalee nautafuta sana
 
Back
Top Bottom