Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Wimbo wa J Martins msanii wa Naijeria yule alieimba Good or Bad na PSquare, siujui Jina la Wimbo Ila unaanza kwa intro anaimba "this is how my girl cheat on me"
Kuna Redio 1 wanaupiga sana Ile Redio ya Malkia hua unarudiwa kila nikiusikia inauma unasikia Wimbo Ila hujui Jina hata ku-download ni ngumu sana
Huu Wimbo nimeusaka mpaka kwa kutumia Google Audio kila nikiusikia AI za Google haziutambui
Mwenye kuujua aniambie unaitwaje Jina lake?