Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wimbo wa J Martins msanii wa Naijeria yule alieimba Good or Bad na PSquare, siujui Jina la Wimbo Ila unaanza kwa intro anaimba "this is how my girl cheat on me"

Kuna Redio 1 wanaupiga sana Ile Redio ya Malkia hua unarudiwa kila nikiusikia inauma unasikia Wimbo Ila hujui Jina hata ku-download ni ngumu sana

Huu Wimbo nimeusaka mpaka kwa kutumia Google Audio kila nikiusikia AI za Google haziutambui

Mwenye kuujua aniambie unaitwaje Jina lake?
 
Pia naomba mwenye ile nyimbo ya uyole, Dar wanapenda sana kuupiga live band

MISTARI
"Wale waenda njia ya uyole kupitia chalinze mamaa"
 
Mwenye wimbo wa Irene Sanga na Parapanda theatre art group, waliimba kwa ajili ya watu Makete kama skosei, na janga la maambukizi ya UKIMWI.
 
Kuna nyimbo za Upendo Kilahilo
Kwa utukufu wako na Hakuna usiloweza.
Naomba mwenye nazo aziweke hapa.
NB:Haku NBA usioweza kuna sehemu kunw an hauna sauti Youtube.
Natangukiza shukrani
 

Attachments

Wakuu Kuna wimbo wa zamani nautafuta unaimbwa......Amina kuchoma choma kubaya uta mchoma Mkweo aliye kuzalia Mumeo....nakumbuka kipande hicho tu msaada.
 
Back
Top Bottom