Vitu vipo vingi, zawadi ni zawadi, vip unataka umpe shemeji?kama kitu gani yaniπ
CHAPUTA huu uzi hautuhusu
Oh that's nice ila maoni yangu n hayonataka nimfanyie suprise akijaπ
sawa, ntajaribu lakini naweza kupata experience toka kwako pia kitu gani unapenda πjaribu kuangalia kitu anapenda sana, labda mda mwingi hua anakiongelea, au anatamani kua nacho.... jaribu kumpeleleza wakati mnaongea utakijua tu.....
Okay msalimie na hongera yake kwa kupendwasawa, nimechukua maoni yako pia
Huwa akinipa hela siku hiyo ndio huwa anaona tabasamu langu loote ππHabari za weekend wanajamvi
Niende moja kwa moja kweli mada. wakaka na wababa wa jamii forums naombeni mniambie ni zawadi gani mkipewa na wapenzi wenu hua mnafurahi sana ukiachana na magari, ni vitu gani mkipewa kama zawadi na wapenzi wenu mnaenjoy.
Natanguliza shukrani ππΌ
Half american Glenn Gily Analyse mshamba_hachekwi Uboboh Equation x Poor Brain DeepPond Sharamdala Mpaji Mungu Balqior mzabzab Ushimen IamBrianLeeSnr National Anthem Mzee wa kupambania