mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
sisi kukiwa na amani, utulivu bila kununa na makelele..... vikiambatana na mdinyo wa nguvuπ basi zawadi yeyote itapokelewa......Wakati mi ukiniuliza nitataja....saa, hereni, blacelet, cheni ya kiuno, pochi, viatu , perfume, oooh kabla ya saa kuna pesa, chupa ya wine alooo ni vingiπ
Na utatembea peku? π€£π€£π€£Nimesahau magauni.....sa viatu na pochi ntabeba bila gauni
Ufuate sasa uone mwanaume anavyotulia uambiwe umemlogaπππushauri mzuri sana huu,,,Asante π
Mbunye tu.Habari za weekend wanajamvi
Niende moja kwa moja kweli mada. wakaka na wababa wa jamii forums naombeni mniambie ni zawadi gani mkipewa na wapenzi wenu hua mnafurahi sana ukiachana na magari, ni vitu gani mkipewa kama zawadi na wapenzi wenu mnaenjoy.
Natanguliza shukrani ππΌ
Half american Glenn Gily Analyse mshamba_hachekwi Uboboh Equation x Poor Brain DeepPond Sharamdala Mpaji Mungu Balqior mzabzab Ushimen IamBrianLeeSnr National Anthem Mzee wa kupambania
Viatu nmetaja, labda niongezee tight na vyupi make tight kweli sina (nasubiria ninunuliwe zawadi ya tight π)Na utatembea peku? π€£π€£π€£
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Viatu nmetaja, labda niongezee tight na vyupi make tight kweli sina (nasubiria ninunuliwe zawadi ya tight [emoji16])
Mimi binafsi niwe mkweli..niambie basi zawadi unapenda zaidi
Hii haina uzalendo, hawa wote walinyoosha mikono juu:-aisee πππ, sawa nimekuelewa ππ