Niacheni nilie maana bado sijasahau yaliyonipata jana yasije kunikuta tena

Ata kuzimu kuna malaika wa kuzimu wanaoteswa pamoja naye.

aliyekwambia malaika wa kuzimu ni sehemu ya wateswao ni nani!!!

kama mhudumu wa maiti si miongoni mwa maiti,jifunze zaidi.
 
Tunalishwa TAKWIMU wakati enzi ya Kikwete tulikula maisha.
Hizo dawa mbona hospitali hazipo? Tunaambiwa bajeti ya Afya imepanda toka B. 30 hadi B.270. Sawa vituo vya Afya vimejengwa, lakini rasilimali watu hakuna. Mwendazake hakujua kitu kinaitwa KUAJIRI.
Amevuruga sekta binafsi yote. Nchi nzima ni kumsifu na kumwabudu mtu mmoja. Bull shit!
 
Ameeen
 
Mbona ubaya wake ndo umetamalaki? ndo ujue watu walichoshwa
 
Tuondolee ujuha wako!!!!
 
Alafu hao wapiga deal ndio wana coordinate kumchafua JPM! Tumewashtukia! Watachafuka wao kwanza! Uzuri sabuni ya kuwachafua ipo ...
 
Nia yao waendelee kuvuna wasichopanda lkn sasa wamegonga mwamba maana mfadhili wao hayupo tena.
Wanalia na kusaga meno
Ukweli ni mwamba hata serikali ya jiwe ulichukua mikopo kutoka nje , sema ilifanya siri
 
Kuna siri moja watu hawaelewi kuhusu safari za nje ya nchi kwa mkuu wa nchi. Lazima emergency funds (si hela ya kitoto) ziwekwe kwenye account ya nje ya nchi. Kujiandaa chochote kikitokea ukiwa nje ya nchi… Na pia hii hela huwa hairudishwi hazina ikishatolewa. Tafakari….
 
New Member...........
 
Wewe ni mtu mzimaaa au mtoto?

Wewe ni mtu mwenye akili sawasawa au moja imetangulia Mbele

Au tu wewe ni mbishani?
Hili swali lako ilibidi liulizwe na robbot
 
Wewe ni mtu mzimaaa au mtoto?

Wewe ni mtu mwenye akili sawasawa au moja imetangulia Mbele

Au tu wewe ni mbishani?
Hii nchi sasa hivi inaye rais aliye madarakani hivyo nipende kuwashauri nyinyi mnaotaka kutuletea uhasama na mgawanyiko kwa manufaa yenu muache mara moja hiz tabia za kibinafsi.
 
Unaweza ukafanya mengi mazuri yakafutwa na kufanya jambo moja tu,lililokosa ubinadamu
 
Kila binaadam ana mapungufu yake,lakini pia ni binaadam wa hatari sana asiyeweza kuthamini mema ya wengine kwa kisingizio cha ubaya ''yatupasa kushukuru kwa yote ndipo tunapoweza kupata kibari machoni pa bwana''
haya orodhesha mazuri yote ya kikwete .
 
Natamani sana kumfahamu huyo mfqdhili wenu anaye isimamia hii show mwanzo mwisho!

Maana nyuzi za kumfagilia marehemu na kumponda JK, zimetamalaki sana humu jukwaani kutoka kwa members wapya kabisa!
Let them provoke under the scene of freedom of expression cause non of your business.Are u okay Mango??!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…