Niambie wanyama watatu unaowapenda Sana huchoki kuwaona

Mimi napenda sana paka na mbwa hasa napenda sana kuwashikashika.Nikiwa na wanyama hawa huwa napata sana faraja.Hata nikifa mali yangu na waridhisha mbwa wangu john na paka wangu Jackson.
 
duh! Aisee! Nchi ngumu hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…