Mjinga wewe sasa kama nili- graduate nikiwa na miaka 25 sasa nina miaka mingapi? Ongeza hiyo 25 na 30 ni ngapi? Kustaafu kwa lazima ni miaka mingapi?Ungekua umeshastaafu labda kama ulianza kama mfagiaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjinga wewe sasa kama nili- graduate nikiwa na miaka 25 sasa nina miaka mingapi? Ongeza hiyo 25 na 30 ni ngapi? Kustaafu kwa lazima ni miaka mingapi?Ungekua umeshastaafu labda kama ulianza kama mfagiaji
Sawa mjanja ila kuna kitu hujui mjanjaMjinga wewe sasa kama nili- graduate nikiwa na miaka 25 sasa nina miaka mingapi? Ongeza hiyo 25 na 30 ni ngapi? Kustaafu kwa lazima ni miaka mingapi?
Siyo kweli usipotoshe. Wafanyakazi wa umma wanaujua utaratibu vizuri na sheria ya annual increment. Km unabisha kasome standing order ya watumishi wa umma ujue jinsi wanavyopata stahiki zao. Usiongee kitu usichokifahamu.Annual increment kuanzia July 2023 haikumaanisha kuwa watumishi wote watapata tarehe hiyo bali kila mtumishi ana tarehe yake ya hiyo annual increment. Mfano kama uliajiriwa tarehe 1 January 2020 basi annual increment yako itakuwa tarehe 1 January 2024 na hivyo mabadiliko utayaona mshahara wa January 2024 na kama uliajiriwa tarehe 1 July 2020 annual increment yako ni tarehe 1 July 2023 na mabadiliko utayaona mshahara wa mwezi huu wa July. Huo ndiyo utaratibu usiwe na papara.
Safi umemuuliza swali zuri. Kakurupuka snUna muda gani katika utumishi wa umma?
Presidency does not change a person but reveals who she is!Kama nyongeza hakuna ...hata ongezeko la mwaka (annual increment )hamna??
Sii kweli
Mzee, jifikirie upya!Mjinga wewe! Jiwe alipunguza pay as you earn (PAYE) ikawa single digit ndiyo sababu ikatokea kwa watumishi wote kwa wakati mmoja.
Kama siyo mjinga unapotosha kwa makusudi! Mfano wewe umeajiriwa January mwaka huu unataka upate increment sawa na aliyeajiriwa July mwaka jana? Be sensible guy!Siyo kweli usipotoshe. Wafanyakazi wa umma wanaujua utaratibu vizuri na sheria ya annual increment. Km unabisha kasome standing order ya watumishi wa umma ujue jinsi wanavyopata stahiki zao. Usiongee kitu usichokifahamu.
Unafahamu maana ya annual increment? Kwa kiswahili ni nyongeza ya mwaka ya ajira yako na siyo nyongeza ya mwaka wa serikali! Hivyo kwa mfano kama uliajiriwa January mwaka huu bado hujatimiza mwaka na hustahili. Wanaostahili nyongeza ni wale walioajiriwa July mwaka jana. Kwa sababu hiyo ndiyo kilichotokea kuwa si wote wamepata increment mwezi huu!Mzee, jifikirie upya!
Jiwe alipunguza PAYE kama njia ya kuongeza mshahara.
Annual increment, iwekwe kwa tarehe ya ajira? Hii mpya aisee!
Shetani hatari sana lileJiwe alikuwa mvunjifu wa sheria na taratibu; ndo maana hata mishahara aligoma kuongeza kwa miaka 6 bila kujali sheria, Jiwe alikuwa mdudu wa HOVYO!
Kwa hiyo kila mtumishi ana mwezi wake!!! Watumishi tupo 350,000Annual increment kuanzia July 2023 haikumaanisha kuwa watumishi wote watapata tarehe hiyo bali kila mtumishi ana tarehe yake ya hiyo annual increment. Mfano kama uliajiriwa tarehe 1 January 2020 basi annual increment yako itakuwa tarehe 1 January 2024 na hivyo mabadiliko utayaona mshahara wa January 2024 na kama uliajiriwa tarehe 1 July 2020 annual increment yako ni tarehe 1 July 2023 na mabadiliko utayaona mshahara wa mwezi huu wa July. Huo ndiyo utaratibu usiwe na papara.
Ndiyo na hiyo ni sababu kwa nini siyo watumishi wote wamepata increment mwezi huu. Wengine watapata mwezi ujao na kuendelea hadi June mwaka ujao!Kwa hiyo kila mtumishi ana mwezi wake!!! Watumishi tupo 350,000
Tatizo chawa wa Samia wengi wenu akili hamna unaropoka ropoka ushenzi tuNdiyo na hiyo ni sababu kwa nini siyo watumishi wote wamepata increment mwezi huu. Wengine watapata mwezi ujao na kuendelea hadi June mwaka ujao!
Ebu nisaidie mkuu, kwa mazingira ambayo tumekuwa nayo kwa takribani miaka 7 bila nyongeza, je kuna mfanyakazi ambaye hakustahili nyongeza hii july? Kama kigezi ni muda wote si wamepitiliza huo muda wa annual increment?Kama siyo mjinga unapotosha kwa makusudi! Mfano wewe umeajiriwa January mwaka huu unataka upate increment sawa na aliyeajiriwa July mwaka jana? Be sensible guy!
Kwa nini hujastaafu?Zaidi ya miaka 30!
Halafu wewe utafaidi nini?Kwa nini hujastaafu?
Kwa hiyo huyu hangaya wako ndio mdudu wa maana ndio maana amewauza kwa wajomba zake?Jiwe alikuwa mvunjifu wa sheria na taratibu; ndo maana hata mishahara aligoma kuongeza kwa miaka 6 bila kujali sheria, Jiwe alikuwa mdudu wa HOVYO!
Kama nyongeza hakuna ...hata ongezeko la mwaka (annual increment )hamna??
Sii kweli
Jiwe alikuwa mvunjifu wa sheria na taratibu; ndo maana hata mishahara aligoma kuongeza kwa miaka 6 bila kujali sheria, Jiwe alikuwa mdudu wa HOVYO!