Niambieni sio kweli Udanganyifu kwenye mishahara

Annual increment kuanzia July 2023 haikumaanisha kuwa watumishi wote watapata tarehe hiyo bali kila mtumishi ana tarehe yake ya hiyo annual increment. Mfano kama uliajiriwa tarehe 1 January 2020 basi annual increment yako itakuwa tarehe 1 January 2024 na hivyo mabadiliko utayaona mshahara wa January 2024 na kama uliajiriwa tarehe 1 July 2020 annual increment yako ni tarehe 1 July 2023 na mabadiliko utayaona mshahara wa mwezi huu wa July. Huo ndiyo utaratibu usiwe na papara.
Siyo kweli usipotoshe. Wafanyakazi wa umma wanaujua utaratibu vizuri na sheria ya annual increment. Km unabisha kasome standing order ya watumishi wa umma ujue jinsi wanavyopata stahiki zao. Usiongee kitu usichokifahamu.
 
Mjinga wewe! Jiwe alipunguza pay as you earn (PAYE) ikawa single digit ndiyo sababu ikatokea kwa watumishi wote kwa wakati mmoja.
Mzee, jifikirie upya!

Jiwe alipunguza PAYE kama njia ya kuongeza mshahara.

Annual increment, iwekwe kwa tarehe ya ajira? Hii mpya aisee!
 
Siyo kweli usipotoshe. Wafanyakazi wa umma wanaujua utaratibu vizuri na sheria ya annual increment. Km unabisha kasome standing order ya watumishi wa umma ujue jinsi wanavyopata stahiki zao. Usiongee kitu usichokifahamu.
Kama siyo mjinga unapotosha kwa makusudi! Mfano wewe umeajiriwa January mwaka huu unataka upate increment sawa na aliyeajiriwa July mwaka jana? Be sensible guy!
 
Mzee, jifikirie upya!

Jiwe alipunguza PAYE kama njia ya kuongeza mshahara.

Annual increment, iwekwe kwa tarehe ya ajira? Hii mpya aisee!
Unafahamu maana ya annual increment? Kwa kiswahili ni nyongeza ya mwaka ya ajira yako na siyo nyongeza ya mwaka wa serikali! Hivyo kwa mfano kama uliajiriwa January mwaka huu bado hujatimiza mwaka na hustahili. Wanaostahili nyongeza ni wale walioajiriwa July mwaka jana. Kwa sababu hiyo ndiyo kilichotokea kuwa si wote wamepata increment mwezi huu!
 
Annual increment kuanzia July 2023 haikumaanisha kuwa watumishi wote watapata tarehe hiyo bali kila mtumishi ana tarehe yake ya hiyo annual increment. Mfano kama uliajiriwa tarehe 1 January 2020 basi annual increment yako itakuwa tarehe 1 January 2024 na hivyo mabadiliko utayaona mshahara wa January 2024 na kama uliajiriwa tarehe 1 July 2020 annual increment yako ni tarehe 1 July 2023 na mabadiliko utayaona mshahara wa mwezi huu wa July. Huo ndiyo utaratibu usiwe na papara.
Kwa hiyo kila mtumishi ana mwezi wake!!! Watumishi tupo 350,000
 
Ndiyo na hiyo ni sababu kwa nini siyo watumishi wote wamepata increment mwezi huu. Wengine watapata mwezi ujao na kuendelea hadi June mwaka ujao!
 
Tatizo chawa wa Samia wengi wenu akili hamna unaropoka ropoka ushenzi tu

Ndio maana samia anadhalilika
 
Kama siyo mjinga unapotosha kwa makusudi! Mfano wewe umeajiriwa January mwaka huu unataka upate increment sawa na aliyeajiriwa July mwaka jana? Be sensible guy!
Ebu nisaidie mkuu, kwa mazingira ambayo tumekuwa nayo kwa takribani miaka 7 bila nyongeza, je kuna mfanyakazi ambaye hakustahili nyongeza hii july? Kama kigezi ni muda wote si wamepitiliza huo muda wa annual increment?
 
Sasa moto 🔥 wa bandari ndo tutakapouwasha vizuri. Support yake aliitarajia kutoka kwa Watumishi, sasa kazingua...na atazinguliwa. Wakulima kule kwenye pamba (hasa Kanda ya Ziwa) wanamzoom tu alivyowazingua msimu huu.

Mwakani (2024) kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa ndo atawaelewa Lake Zone, kisha Sebene lenyewe la Kisanola liko 2025.
 
Jiwe alikuwa mvunjifu wa sheria na taratibu; ndo maana hata mishahara aligoma kuongeza kwa miaka 6 bila kujali sheria, Jiwe alikuwa mdudu wa HOVYO!
Kwa hiyo huyu hangaya wako ndio mdudu wa maana ndio maana amewauza kwa wajomba zake?
 
Back
Top Bottom