Nichagulieni MKE kati ya hawa wawili, Nawaomba sana...

Cjasoma yote ila nikushauri huyo qliye kuzalia usimwache .....
 
Kwahiyo hili ni gumu kulifanyia maamuzi?

😃
Gumu kwa upande wangu Mkuu, Ukiondoa ushirikina wa upande B ana mengi mazuri mengi tu mengi sana ndio mana sikua naelewa nini nifanye.
 
Haya naombeni kuambiwa namna ya kumuacha huyu mwingine bila kumuachia jeraha basi.

Mchane tu kuwa haupo tayari kuwa na mahusiano na mwanamke mitunguli...

Ukoshimdwa ongea hivyo mbele zake, jua kuwa akili yako ishafichwa kwenye kibuyu na hicho kibuyu kimetupwa kisiwani baharini huko...
 
Wew umri wa kuoa bado. Nenda hadi 50 yrs old labda utajua maana ya mke, kwa sasa hujui. Km unaweza kusema mwanamke anakupenda 💯% hiyo ni ishara kuwa humjui mwanamke na hustahili kuoa sasa hivi. Hivi hizo % umeingia moyoni mwake ukaziona au unahisi na kukisia tu. Hata mama yako/baba yako yawezekana askupende kwa% hizo kutokana na mapungufu yako, sasa iweje mtoto wa familia nyingine ambaye hujui hata ukoo wake in detail.

Halafu unaorodhesha sifa za kijinga eti sura, umbile, nk. Unasema akipita mbele ya mwanaume lazima aombwe namba, are you serious. Sawa siyo mbaya kwa muono wako sasa wewe unataka mke wa show off au mke wa moyo wako. Ndo maan nikasema umri wako wa kuoa bado subiri ukue kwanza. Yani wewe ni wa kuonea huruma sn.
In nutshell, huyo unaemsifia kwa umbo na blaa blaa kibao siyo mke, hutamaliza naye miaka 2 kabla ya kuja hapa unalia.
 
Nimeishia hap kwenye bold. Yani umzalishe, alaf leo hii unataka umuachie nani? Kama haupo sure na mtu, why uweke mimba?

Mkuu hebu Baki na mama mtoto wako. Huyo mtoto ana haki ya kulelewa na wazazi wote wawili.
 
Haya naombeni kuambiwa namna ya kumuacha huyu mwingine bila kumuachia jeraha basi.
Bila kuacha jeraha how? Yani kwenye mahusiano hakunaga peaceful break up, lazima kuna mmoja atakuwa anaumia, hata kama hatosema.

Na huyo manzi wa pili umesema anapenda sana mikaratusi? Nakushauri okoka kabla hujampiga chini, maana lazima akuroge tu.
 
1.Achana na huyo mshirikina, huwezi kujua lini atakupiga juju
2.Unataka kuishi na mama watoto mumlee mtoto pamoja au mwanao alelewe na baba wa kambo? It's up to you
Nasisitiza achana na huyo Sangoma hata awe na shape namba 8.
OVER
 
Acha mambo ya mtoto ,ooh ananipenda ,ooh shepu ,ooh wivu.
Katika wote wawili yupi ni Rafiki Yako ?
Yaani nyie ni marafiki hasa hata bila ndoa yaani ni maswahiba.
Muoe huyo na hutojuta.
 
Inaonekana wewe bado mgeni wa mapenzi na huwajui wanawake. Anyway ng9ja nikuulize huyu mshirikina anajua status uliyonayo ya kuwa ni baba?

Huyu mama wa mtoto huwa anakuja kukujulia hali uliko kwa maana ya kuunganisha vikojoleo au kama sio kuja ikitokea wewe umeenda mjini huwa mnaonana?

Hili ni rahisi kuamua ila mshirikina ameshaanza kukita dawa zake kwako ndio maana unapata wenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…