Niezeke bati la kiwanda gani kati ya Alaf na Sunshare?

IRINGAAAAAA.....Mikonoooo juu!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ladies and Gentleman

Kijana wenu nipo IRINGA MJINI kwa kazi maalumu...

Nicheki kwa offer zetu zinaendelea...Mdau Wa IRINGA NA MAENEO YA JIRANI

Dirisha Tsh 40,000

Kona Tsh 30,000

Nguzo Tsh 40,000

Mlango Tsh 35,000

Dining (Arch) 100,000

Arch ya nje Tsh 25000

Skating nzima Tsh 200,000

Tuna punguzo kubwa kwenye skiming na rangi

Nipigie kwa namba 0789005562

Au njoo wasap kwa link hii [emoji116][emoji116][emoji116]

Https//Wa.me//255789005562

Punguzo kubwa kwenye skimming ....Mikoani tunafika
FB_IMG_1649154494386.jpg
 
Nimeona baadhi ya posts humu wametaka picha. Kwanza niwatake radhi kuwa kuna sababu muhimu sana sikuweza kufanya hivyo. Naahidi kuwa soon nitafungua uzi utaohusisha picha na maelekezo ya ziada ya vifaa vyetu vya ujenzi.

Vifaa vyetu tunavyounda kwa ajili ya ujenzi ni system kamili inayoanzia kwenye msingi hadi kuezeka, iliyolenga kwenye ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu.

Tutawajulisha wote tutapoanza kuuweka uzi wenye picha na maelezo ya kazi zetu. Mtuwie radhi.
 
tatizo mabati ya mawakala ni fake mengi
mm nili nunua mabati pale sunshare kiwandani hadi leo mwaka wa 4 bado kupauka.

ushauri wangu ukitaka bati nyingi tafuta wakala kanunue kiwandani
Nimeezeka nyumba 2 Kwa mabati ya Sunshare Tangu 2016 hadi Leo yanang'aa na hakuna tatizo ukitaka bati za kiwanda husika nenda kiwandani kwao achana na mawakala uchwara
 
Angalia bei halafu utajua mwenyewe uchague ipi
Naomna ukasome uzi wangu kuhusu elimu ya bati.

Unless wewe uwe ni dalali wa Alaf.

Bei ya Alaf sio kwa sababu ya ubora bali vipimo vyake na Gauge yake. Other factors zinalingana na makampuni yoote.

Mfano G28 Alaf ina upana wa 122mm na ufefu wa mita tatu. Bei yake ni 52k bati moja.

Sunshare G28 upana 98mm urefu mita 3 bei yake 42.

Usipokuwa makini utaona Alaf bei kubwa hivyo ndio ubora wake. Wakati kilichoongeza bei hapa ni upana wa bati. Ikiwa utafanya calculation kama nilivyofanya mimi utakuta bei tofauti ni elfu 1 au elfu 2tu.
 
Kipi mkuu huwa kinafanya bati flani ziwahi kupauka au kuchuja rangi na bati zingine kudumu na rangi yake mda mrefu?

Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
 
IRINGAAAAAA.....Mikonoooo juu!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ladies and Gentleman

Kijana wenu nipo IRINGA MJINI kwa kazi maalumu...

Nicheki kwa offer zetu zinaendelea...Mdau Wa IRINGA NA MAENEO YA JIRANI

Dirisha Tsh 40,000

Kona Tsh 30,000

Nguzo Tsh 40,000

Mlango Tsh 35,000

Dining (Arch) 100,000

Arch ya nje Tsh 25000

Skating nzima Tsh 200,000

Tuna punguzo kubwa kwenye skiming na rangi

Nipigie kwa namba 0789005562

Au njoo wasap kwa link hii [emoji116][emoji116][emoji116]

Https//Wa.me//255789005562

Punguzo kubwa kwenye skimming ....Mikoani tunafikaView attachment 2182709
Soku ukitokea ugogoni tutafutane
 
Mimi uwezo wangu kidogo, najishauri nikanunue Bati bomba au Haomai, hapa kichwa kinawaka moto, nahitaji bati kama 150 G30 kwa vipimo vya Alaf, sijui kwenye hizi kampuni nyigine zitakuwa ngapi maana mdau hapo ameonesha Alaf ni mapana ukilinganisha kampuni nyingine.
 
Tantu pia naona zinajitahid
 
Mimi uwezo wangu kidogo, najishauri nikanunue Bati bomba au Haomai, hapa kichwa kinawaka moto, nahitaji bati kama 150 G30 kwa vipimo vya Alaf, sijui kwenye hizi kampuni nyigine zitakuwa ngapi maana mdau hapo ameonesha Alaf ni mapana ukilinganisha kampuni nyingine.
Bati za ALAF ni nzuri imara zina kiwango na BEI YAKE NI RAHISI
 
Back
Top Bottom