kj75
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 539
- 637
Bei gani mkuu kwa bandle moja???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei gani mkuu kwa bandle moja???
Tumia ALAFNaomba msaada wenu kati ya bati za Alaf na Sunshare ipi bora. Fundi ananishauri nitumie Sunshare ila mimi napenda Alaf.
Duu alaf wameshapandisha bei baada ya mafuta kupandaTumia ALAF
Nimeezeka nyumba 2 Kwa mabati ya Sunshare Tangu 2016 hadi Leo yanang'aa na hakuna tatizo ukitaka bati za kiwanda husika nenda kiwandani kwao achana na mawakala uchwaratatizo mabati ya mawakala ni fake mengi
mm nili nunua mabati pale sunshare kiwandani hadi leo mwaka wa 4 bado kupauka.
ushauri wangu ukitaka bati nyingi tafuta wakala kanunue kiwandani
Alaf unafananishaje na hizo chinese product in africaWe jamaa unakijua unachoongea?? Fatilia uzi humu unaenda kwa Heading" Elimu kuhusu Mabati"
Hakuna bati lisilo pauka ndugu yote yapo sawa yanatafautiana muda tuMimi nikija nataka written warranty Ili yakipauka kabla ya mda tajwa tukamalizane kunakohusika.
Maana utapeli umesidi mnawaambia watu eti hayapauki rangi kwa miaka 10 mwisho wa siku haipiti hata mwaka yamepauka.
Alaf miaka minne mingi yanachuja tu.Alaf unafananishaje na hizo chinese product in africa
Naomna ukasome uzi wangu kuhusu elimu ya bati.Angalia bei halafu utajua mwenyewe uchague ipi
Na mimi nataka huo muda uwe kwenye maandishiHakuna bati lisilo pauka ndugu yote yapo sawa yanatafautiana muda tu
Kipi mkuu huwa kinafanya bati flani ziwahi kupauka au kuchuja rangi na bati zingine kudumu na rangi yake mda mrefu?Naomna ukasome uzi wangu kuhusu elimu ya bati.
Unless wewe uwe ni dalali wa Alaf.
Bei ya Alaf sio kwa sababu ya ubora bali vipimo vyake na Gauge yake. Other factors zinalingana na makampuni yoote.
Mfano G28 Alaf ina upana wa 122mm na ufefu wa mita tatu. Bei yake ni 52k bati moja.
Sunshare G28 upana 98mm urefu mita 3 bei yake 42.
Usipokuwa makini utaona Alaf bei kubwa hivyo ndio ubora wake. Wakati kilichoongeza bei hapa ni upana wa bati. Ikiwa utafanya calculation kama nilivyofanya mimi utakuta bei tofauti ni elfu 1 au elfu 2tu.
Soku ukitokea ugogoni tutafutaneIRINGAAAAAA.....Mikonoooo juu!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ladies and Gentleman
Kijana wenu nipo IRINGA MJINI kwa kazi maalumu...
Nicheki kwa offer zetu zinaendelea...Mdau Wa IRINGA NA MAENEO YA JIRANI
Dirisha Tsh 40,000
Kona Tsh 30,000
Nguzo Tsh 40,000
Mlango Tsh 35,000
Dining (Arch) 100,000
Arch ya nje Tsh 25000
Skating nzima Tsh 200,000
Tuna punguzo kubwa kwenye skiming na rangi
Nipigie kwa namba 0789005562
Au njoo wasap kwa link hii [emoji116][emoji116][emoji116]
Https//Wa.me//255789005562
Punguzo kubwa kwenye skimming ....Mikoani tunafikaView attachment 2182709
Tantu pia naona zinajitahidMimi uwezo wangu kidogo, najishauri nikanunue Bati bomba au Haomai, hapa kichwa kinawaka moto, nahitaji bati kama 150 G30 kwa vipimo vya Alaf, sijui kwenye hizi kampuni nyigine zitakuwa ngapi maana mdau hapo ameonesha Alaf ni mapana ukilinganisha kampuni nyingine.
Mkuu Tantu ni jina la kiwanda? kiko wapi!Tantu pia naona zinajitahid
Bati za ALAF ni nzuri imara zina kiwango na BEI YAKE NI RAHISIMimi uwezo wangu kidogo, najishauri nikanunue Bati bomba au Haomai, hapa kichwa kinawaka moto, nahitaji bati kama 150 G30 kwa vipimo vya Alaf, sijui kwenye hizi kampuni nyigine zitakuwa ngapi maana mdau hapo ameonesha Alaf ni mapana ukilinganisha kampuni nyingine.