Nifahamishe kituo cha watoto yatima chenye uhitaji mkubwa sana


Mtaje jina na jina la kituo,kitendo cha kumficha ni kuendelea kukumbatia uovu na utapeli anao ufanya.
 
Kwamkono disabled children Centre Handeni.

Ulizia mission kanisa Anglican Handeni Kwamkono.

Mbarikiwe mno.
 
Hao wa mjini hususa Dar wanaweza kufikiwa na wengi lakini wa mkoani vijijini kama Kwamkono Handeni sio rahisi kufikiwa huko kijijini lakini ukiweza kujitoa kuwafikia au kutuma misaada hakika thawabu yake ni kubwa sana na itakushangaza mno.
 
Ukiielewa Siri ya kwann wazungu wanasaidia Africa Sio kwamba wao Wanatupenda sana au wao hawana shida ya pesa.
Ndio utaelewa juu ya Siri hii.

Tueleze hiyo siri nas sisi tupate kunufaika na mchango wako katika forum hii.
 
Kama ambavyo Kuna wezi makanisani na misikitini, ndivyo ilivyo hata ktk huduma zingine.Kwa hiyo Hawa wanaodai Kuna wapigaji kwenye hii huduma tusiwapinge.Nisichokubaliana nao ni ku" generalize kuwa Wenye hidumà hii wote ni wapigaji! Ukitaka kujua maana ya huduma hii tembelea kituo kama Mburahati na Msimbazi wanakolea watoto wachanga!
 
✅👏🙏
 
Uongezewe zaidi pale utakapopunguza. Big up sana
 
Na wewe umejuaje hayo wakati hajatueleza hali ya familia na nduguze?Hayo ni mawazo yako kama vile alivyotoa mawazo yake.Mawazo ya kila mmoja yaheshimiwe.
Mtu kaomba msaada wa kujua vituo vya watoto yatima au msaada wa wapi apeleke msaada wake.
 
Vituo vingi vya Yatima ni miradi ya watu kuombea pesa kwa wazungu, hapo anapeleka misaada anapiga picha na kuomba tena
 
Wapo wakubwa wako vyuo. Wana maadili sana wale watoto. Mwenye kituo mama wa kirangi. Anawafundisha sana maadili na nidhamu kwa hlo nampa hogera sana
Namjua sana yule mama rafiki mkubwa sana wa mama ake Haji Manara. So unaniambia nikienda kuchumbia pale napata mke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…