Nifanyaje kumpata binti ambaye ni maarufu?

Hiyo dm si ndo mpka ajibu sasa!

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Nikufanyie connection??
Sina hela, halafu nina mashaka yule video queen wa yatapita alijitongozesha kwa diamond, kama diamond alimtongoza yule video queen, basi video queen alimkubali, na alianza kumganda Diamond..Sina uhakika ila nimehisi tu

Nahisi ndio kilichopelekea diamond kujirekodi na kuwachana wadada aliosema wanajifanya kumpenda kuliko mama yake, aliwauliza hao wadada kuwa kama angekuwa maskini wangempenda?? cocastic Victoire
 
[emoji23][emoji23][emoji23] eti anasema hataki intavoo kwa media ingine, zaidi ya Wasafi.

Namuangalia nasema hajaijua industry badooo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kana nyodo mnooo
 
Mkuu Fanya kitu simple tu ingia DM ya mmoja wapo unayemtaka nenda direct kwenye point tena mtangazie na dau kabsa mostly watakumind unawachukuliaje wewe kuwa mpole tena waombe msamaha sana ila waambie Siku ukiwa na shida na hicho kiasi wakutafute halafu kausha trust me its just a matter of time IPO day utashaangaa celebrity na matitle Yake anakutafuta tena kwa dau dogo tu LA 200K
 
Kua na hela tu. Hawa madem maarufu wengi wanawachanganya watu kwa picha za insta tu ila wengi hawana hayo maisha wanayo onyesha na wengi wanaishi kwa madili ya pesa za kawaida, unakuta msanii anafanya show ya mpaka laki 6, huyo ukimwekea M mezani hawezi toboa. Japo ni kuvuruga pesa mana mtaani kuna madem wakali sana zaidi yao ila kama umeamua fanya hivyo
 
Ila kweli yaan.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…