Anita Makirita
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 1,341
- 2,121
Ndo hivyoKila nikijaribu kuutafakari wivu, huwa nafikia hitimisho kwamba ni aina ya roho mbaya!
Mtu mwenye wivu sana ni mtu mwenye roho mbaya, unless, kama una namna nyingine ya kuutafakari wivu unaweza kunijulisha.
Hahahaaa, Kapeace bhana!, ila wewe hauna roho mbaya si eti?Ndo hivyo
Mimi ni mwanamke lakini ninajua wanaume sio tu wana wivu..Bali pia majeraha yao hayaponi kila mara jeraha linaubichi.tena ishu yenyewe ya mapenzi hakika huyu mwanamke akifanya huu upuuzi hataamini macho Yake dunia itakavyomgeukiaUsithubutu kumuonyesha una bwana wanaume tuna wivu sana ndo utakua mwisho wako
Jiulize swali atakaa tu aumie kwa maumivu kaa ukijua akifa faraja kwa watoto wake ni yeye sio mume siku zote . Kwa hiyo maisha ni magumu sana sana .Hapo nilipobold….usifikiri ni parahisi
Yes Kwa kuongea tu..ni parahisi mno mno
Hiyo ya kutapika nitaivumilia..Usiombe kukutana na mimi nikiwa ktk hali hiyo wivu unafanyaga natapika kabisa,, ndo roho mbaya yenyewe hiyo
WIVU unapelekea CHUKIKila nikijaribu kuutafakari wivu, huwa nafikia hitimisho kwamba ni aina ya roho mbaya!
Mtu mwenye wivu sana ni mtu mwenye roho mbaya, unless, kama una namna nyingine ya kuutafakari wivu unaweza kunijulisha.
Sio nzuri, wivu hasira na chuki kwa pamoja ni hatari mnoHiyo ya kutapika nitaivumilia..
Mkuu,Kila nikijaribu kuutafakari wivu, huwa nafikia hitimisho kwamba ni aina ya roho mbaya!
Mtu mwenye wivu sana ni mtu mwenye roho mbaya, unless, kama una namna nyingine ya kuutafakari wivu unaweza kunijulisha.
apoSi bora hata wewe unaweza kuchepuka?, means you are young and attractive, wenzako hawawezil
pole sana mkuu, mimi nakushauri uachane na mumeo,
huu muda unaoumaliza kutafta kumuumiza mumeo ungejiweka available and right person angekuja kwenye maisha yako,
Acha kujibamiza ukutani mkuu and stop being in unhealthy relationship, psychological damage ya kukaa kwenye unhealthy relationship consequences zake zinaweza kuwa kubwa zaidi na ukapoteza kila kitu...
Tatizo Kingsmann anamwagaga madini humu ila lakini hili sijamuona, mnaweza mkaanza future pamoja,lol.
.angalia hili limwanamke na ushauri wake.. wanawake wengine ni wajinga miaka kumi unampa ushauri huuu
Kwa hiyo wewe una vyote hivyo?Sio nzuri, wivu hasira na chuki kwa pamoja ni hatari mno