Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
unajuaaa dr
Mama said you are pretty girl
Whats in ur head doesnt matter
Brush ur hair, fix ur teeth
What you wear its all that matters
Pretty hurts
We shine the light on whatever's worst..
badala ushukuru unaweza piga pic tumbo wazi...dah..we haya
Umeangalia kibuyu chako ukaona mambo ni magumubadala ushukuru unaweza piga pic tumbo wazi...dah..we haya
crop top tunaishia kuziona kwa kina beyonce...noma sana yaaniUmeangalia kibuyu chako ukaona mambo ni magumu
Pole jamanicrop top tunaishia kuziona kwa kina beyonce...noma sana yaani
Umesema vyema.Ukizaa utanenepa japo wengine hubaki hivyo hivyo tu, ungekuwa kwa wazungu ungekuwa na soko kweli ila kwa huku kwetu wapenda nyama nyama fanya uongeze kiasi tu, kuna kipindi nilijipunguza mpaka kilo 62 hata sikupendeza miili ya kibantu ni nyama nyama wastani nazo zisizidi
Na ile kitu nilikupa bado umegoma kuvuka hizo 40s 😂😂 Lily jamaniiiiUmesema vyema.
Mimi ni mama wa mtoto 1,na mtoto ana umri wa miaka 8,uzito wa kilo 22
Pamoja na kujifungua lakini kilo zangu zimebaki pale pale,huwa zina range Kati ya 39-41,urefu wangu ni 151 cm.
hahaaaa..mie bado nabanana na vigauni vifupi..sema unajihis nishai kabisa...soni inakishika...dela ndo sitakuja vaa ..ukiniona na dela basi siku hiyo naosha madirisha😞Pole jamani
Mm nazivaa vaa kwa nadra ila usiku
Katumbo kanaruhusu kwa mbaliiiii
Ila najiona mpaka krismasi inafika sitakuwa na huo uwezo 🤣🤣🙌
shosti inaongezeka kila moja na point,mara ina drop .Sasa mpaka iongezeka tena hiyo kila moja ni shughuli😃Na ile kitu nilikupa bado umegoma kuvuka hizo 40s 😂😂 Lily jamaniiii
Nakuja kukupa nyingineshosti inaongezeka kila moja na point,mara ina drop .Sasa mpaka iongezeka tena hiyo kila moja ni shughuli😃
Short dress inatubeba sanahahaaaa..mie bado nabanana na vigauni vifupi..sema unajihis nishai kabisa...soni inakishika...dela ndo sitakuja vaa ..ukiniona na dela basi siku hiyo naosha madirisha😞
asante love, Nakutumia namba ya WhatsApp,ili ufuatiliaji uwe wa karibu zaidiNakuja kukupa nyingine
Kwanza ile inahitaji ujitoe haswa kuifatilia…
track na kikoi😀Short dress inatubeba sana
Hazijawahi mkataa mtu..
haha ukienda msibani
Ama kwenye shughuli za kijamaa unavaa nn?
Karibuu 😘asante love, Nakutumia namba ya WhatsApp,ili ufuatiliaji uwe wa karibu zaidi
Dah nikupe hongera kwakuwa uzito mkubwa ni janga la dunia ila hizo kg mimi sizitaki unakuwa mdogo mdogo sana na hawa wanaume wetu wa kiafrika😂😂Umesema vyema.
Mimi ni mama wa mtoto 1,na mtoto ana umri wa miaka 8,uzito wa kilo 22
Pamoja na kujifungua lakini kilo zangu zimebaki pale pale,huwa zina range Kati ya 39-41,urefu wangu ni 151 cm.
Mwili mdogo una changamoto zake.Dah nikupe hongera kwakuwa uzito mkubwa ni janga la dunia ila hizo kg mimi sizitaki unakuwa mdogo mdogo sana na hawa wanaume wetu wa kiafrika😂😂