Nifanyeje ili niache kununua malaya?

(Mithali 23:27)

1. Kahaba ni shimo refu, ni sawa na shimo la KUZIMU, halijai,

Shimo Hilo Haina mwisho, na Kwakuwa halina mwisho, huwezi tosheka,

2. Ikimbie Zinaa, (1 Korinthians:6:18)

3. Na ukishindwa kabisa, chukua kisu kata hicho kiungo, ukitupe motoni,

Maana ni Afadhali uingie Mbinguni Ukiwa huna UUME, kuliko kutupwa JEHANUM Ukiwa na viungo vyote kamili. (Mithali 18:9).
 
Hapa itabidi Uoe ndugu.... chukulia kusex na malaya ni uchafu/mkosi na kingine Mrudie mungu wako..... hakuna linaloshindikana ... FOLLOW @madayu_yanga on Instagram for sports NEWS
 
Tafuta kazi ya kufanya mkuu na kuwa busy na majukumu ya msingi, mimi pia ni mdau ila kuna mipaka na ratiba. Njia niliyotumia kupunguza kununua ni:

Kuepuka kwenda viwanja vya mbali na nyumbani, mara nyingi siku hizi kama nisipopiga bia nyumbani basi option ya karibu niliyonayo ni kijiweni kwa mangi, kutoka kwenda viwanja vya mbali labda mara 1 au 2 kwa mwezi, zamani nilikua naenda kila weekend na nikitoka kurudi nyumbani ni Jpili, hapo lazima nipite na totoz kadhaa, ila baada ya kupunguza kwenda viwanja siku hizi naweza kuagiza mzigo mara 2 hadi 3 kwa mwezi. Ila asikudanganye mtu ukinywa bia sehemu yenye totoz ni nadra sana kurudi nyumbani bila kusafisha rungu
 
Nenda makanisa ya walokole! Una pepo la umasikini, laana, mikosi na kukataliwa
 
Basi aache uongo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nime ku PM
Ngoja nikuambie Dada Joannah, unaweza ukawa una kovu au kidonda mgongoni na ukavaa gauni lako zuri ukatoka nje watu wakakusifia umependeza bila kujua kwamba una kidonda au kovu lakini unajijua Mwenyewe. Ukirudi ndani unalivua gauni kovu lako linabaki palepale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…