Nifanyeje mke wangu aache kula kitimoto?

Unataka aache kitimoto awe mchawi? Ee nakuuliza mleta uzi
 
Ndiomana Inapendeza sana kuoana mkiwa na Imani mojaa! Masuala kupangiana masharti kwenye vyakula Sio kabisa!
 
😃😃😃😃😃 Jasiri haachi asili
 
Ka mwehu 😂
 
Sorry kwa lugha nitakayotumia ila wewe ni......... Yaani toka 2008 umadate na mtu mpaka 2020?? Ulikuwa una shida gani tena bora ulivyomwacha maana ulishampotezea muda sana khaaa
 
Sorry kwa lugha nitakayotumia ila wewe ni......... Yaani toka 2008 umadate na mtu mpaka 2020?? Ulikuwa una shida gani tena bora ulivyomwacha maana ulishampotezea muda sana khaaa
Long distance love kila mtu yupo mkoa wake tunakutana mara moja moja tu, natumai nimekupa jibu na hio ilikua ni mfano bad issue kuna kipindi alienda kujiendeleza Chuo wahuni wakawa wanamfokoa huko nikavunga kiume ukila na wewe kubari kuliwa, kamaliza Chuo akaanza kudai ndoa hadi nikashtuka huyu ana agenda gani ya Siri?

KATAA NDOA
 
Kwan unataka kuishi milele?? Pork ni msosi tu kama misosi mingine
 
Hata kama ni long distance jamani, unless muwe mlianza kdate mkiwa wadogo sana below 18. Miaka 12 sio mchezo ingawa nimeshuhudia kapo imedate zaidi ya miaka 15 na mwaka jana wameoana ila walianza date wadogo sasa hivi wapo kwenye 30's
 
Ndio tulitoka huko below 18 toka secondary na tukadumu mda wote huo, ni mapenzi tu na malengo Ila watu hubadirishwa na watu na mazingira hilo pia usilisahau, Ila sitalizungumzia hapa itoshe kusema sio kila unachokihitaji kitatimia
 
Unamkosea sana huyo dada yetu. Na wasabato sijui mpoje yaani huwa hamueleweki, kuna muda mnakuwa kama wavaa kobazi ila ukitazama tena kwa undani unaona wavaa kobazi ni watu poa tena kuwashinda ninyi maana tunakula nao pia mdudu.

Mnazingua sana wasabato, hebu mrudishe dada yetu kama umemshindwa. Anaachaje sasa kula mdudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…