Nifanyeje mke wangu aache kula kitimoto?

Nguruwe wamekatazwa Walawi, wewe Mkurya wa tarime unajikataza, ni nani amekuambia ujiingize kwenye katazo lisilo lako? Mnajipa stress Bure hapa duniani
 
Mwamba unazingua sana ....hapo unamtaka mke,( familia )...kitimoto au dini yako! Yaani unakula kuku, samaki aliyekula kinyesi na wadudu na bado hujasema umekula kinyesi, wala wadudu... unakula ng'ombe, mbuzi na kondoo waliokula majani yaliyokojolewa/ kunyewa na binadam na wanyama wengine hulalomi....same to mboga za majani....leo unahangaika na mla kitimoto....imani yako ni haba sana boss...unajilisha upepo....! Good luck
 
Nguruwe wamekatazwa Walawi, wewe Mkurya wa tarime unajikataza, ni nani amekuambia ujiingize kwenye katazo lisilo lako? Mnajipa stress Bure hapa duniani
Sawa bro
 
Nipe namba yake nimwelekeze mahali wanaichoma vizuri lazima alambe vidole.
 
Ndg yangu hutoboi[emoji23]
Wewe muache tu aendeleee kula
 
Kama uliamua kuoa mkatoriki kwa ridhaa yako vumilia tu, ni sawa na mpiga puli akioa, ataendelea kuungurumisha tu, bendera ya chama itapepea milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…