Nifanyeje mke wangu aache kula kitimoto?

Iringa wote wangekua vichaa kama kila anayekula kitmoto angeugua cysticercosis, kimsingi takwimu za dunia zinaonyesha huo ugonjwa ni mkubwa nchi za mashariki ya mbali kuliko huku.
Kumbe unajua kua huo ugunjwa upo na unatesa? Sio mashariki ya mbali huo ugonjwa wengi wanaokula kitu cha mdudu wanaugua pasina wao kujua
 
Ninyi na wale wenzenu wa Sala 5 hufurahi Sana lumnasa mkatoliki, lakini niwabie, baadaye huwasumbua Sana. Dini ni tamaduni, mtu tangu amezaliwa ana tamaduni Fulani simeshaingia dini, eti aje aziache ukubwani? Atakuwa snajifungia ndani mwenyewe anasali rozari, anagonga mdudu anamwagilia moyo kwa castle bariiidi, na anadikiliza nyimbo za bikira maria
 
Basi Mimi ndio napenda Mbuzi balaa maana hana madhara makubwa sio PiG mnyama hatari kwa afya, Mbuzi napenda sana supu ya Kichwa mzee tamu balaa
Mzee wangu yupo 70+ na ndio alie wafundisha kukitafuna ila hana tatizo lolote la kiafya
 
Hapa tunazungumzia kitimoto sio popo na nguruwe
 
Dah hivi wewe unaijua test ya kitimoto/mdudu a.k.a mbuzi katoliki baba ukilionja tu hutakaa kuliacha mpk utajilaumu ulichelewa wapi
 
Mapenzi hayana dini
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hawa wataalam bana sijui wanabifu gani na kitimoto. Hayo matatizo wanayaona wao tu mtaani ,mbona sisi hatuyaoni.....?
Mdudu wanamuonea sana,ngoja nimshitue mwanangu Abdi tukajipoze kulinda heshima yake
 
Mwache ale afukuze mapepo humo ndani...ulishawahi kusikia wakatoliki wana mapepo?
 
Ushaona wapiiii
Ni uongooo huoooo
Uongo huooo
Mdudu anaesavaivu amechemshwa kwny joto ta c'100 na akapitishwa ktk mafuta na kukaushwa ni mdudu yup??
 
Acha kufuatilia mambo yasokuhusu.
 
Hujui kwamba tunanyonyana denda? Huoni ananilisha na mimi bila ridhaa yangu?
Dini yenu inakataza kula pork ila inaruhusu nyie kunyonyana mate, hiyo ni dini au utopolo wa dini ?
 
Umetoa terminologies nzito nzito kutoa empty threats.
 
Basi Mimi ndio napenda Mbuzi balaa maana hana madhara makubwa sio PiG mnyama hatari kwa afya, Mbuzi napenda sana supu ya Kichwa mzee tamu balaa
Nikimaliza kusoma huu uzi lazima nikaagize nusu kilo ya Kitimoto ili kukata moto maneno ya wadwanzi wanaoichafua hii nyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…