Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Ooh karibu sana kama unakula mdudu😄😄Badala yake mimi nipo tu unaweza nipasia ofa hiyoðŸ¤ðŸ˜Š
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh karibu sana kama unakula mdudu😄😄Badala yake mimi nipo tu unaweza nipasia ofa hiyoðŸ¤ðŸ˜Š
Kumbe unajua kua huo ugunjwa upo na unatesa? Sio mashariki ya mbali huo ugonjwa wengi wanaokula kitu cha mdudu wanaugua pasina wao kujuaIringa wote wangekua vichaa kama kila anayekula kitmoto angeugua cysticercosis, kimsingi takwimu za dunia zinaonyesha huo ugonjwa ni mkubwa nchi za mashariki ya mbali kuliko huku.
Ninyi na wale wenzenu wa Sala 5 hufurahi Sana lumnasa mkatoliki, lakini niwabie, baadaye huwasumbua Sana. Dini ni tamaduni, mtu tangu amezaliwa ana tamaduni Fulani simeshaingia dini, eti aje aziache ukubwani? Atakuwa snajifungia ndani mwenyewe anasali rozari, anagonga mdudu anamwagilia moyo kwa castle bariiidi, na anadikiliza nyimbo za bikira mariaMimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato.
Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia achana na hugo gudude ni gubaya.
Akaniahidi kuwa ameacha, lakini kila baada ya muda kidogo namkuta tena anakula gudude.
Je nifanyeje aache kula hugo gudude?
Mzee wangu yupo 70+ na ndio alie wafundisha kukitafuna ila hana tatizo lolote la kiafyaBasi Mimi ndio napenda Mbuzi balaa maana hana madhara makubwa sio PiG mnyama hatari kwa afya, Mbuzi napenda sana supu ya Kichwa mzee tamu balaa
[emoji23][emoji23][emoji23] hawa wataalam bana sijui wanabifu gani na kitimoto. Hayo matatizo wanayaona wao tu mtaani ,mbona sisi hatuyaoni.....?Nina Bibi anafuga na kula ni zaidi ya miaka 60 sasahivi [emoji3][emoji3]na yeye anakimbilia 93 na bado anaingia bandani mwenyewe
Njoo chukua.Nipe nyama yako basi niiyonje.
Dah hivi wewe unaijua test ya kitimoto/mdudu a.k.a mbuzi katoliki baba ukilionja tu hutakaa kuliacha mpk utajilaumu ulichelewa wapiMimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato.
Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia achana na hugo gudude ni gubaya.
Akaniahidi kuwa ameacha, lakini kila baada ya muda kidogo namkuta tena anakula gudude.
Je nifanyeje aache kula hugo gudude?
Mapenzi hayana diniNinyi na wale wenzenu wa Sala 5 hufurahi Sana lumnasa mkatoliki, lakini niwabie, baadaye huwasumbua Sana. Dini ni tamaduni, mtu tangu amezaliwa ana tamaduni Fulani simeshaingia dini, eti aje aziache ukubwani? Atakuwa snajifungia ndani mwenyewe anasali rozari, anagonga mdudu anamwagilia moyo kwa castle bariiidi, na anadikiliza nyimbo za bikira maria
Mdudu wanamuonea sana,ngoja nimshitue mwanangu Abdi tukajipoze kulinda heshima yake[emoji23][emoji23][emoji23] hawa wataalam bana sijui wanabifu gani na kitimoto. Hayo matatizo wanayaona wao tu mtaani ,mbona sisi hatuyaoni.....?
Ushaona wapiiiiMwisho wake ni kufutuka futuka km PIG, na ukifika stage hio jamaa wanakua washaweka kambi kwenye UBONGO wanapiga misele utazima maumivu kwa pombe kali Ila hawafi kirahisiiii, nilishawahi kua na manzi tulikua in relationship since 2008 (akiwa kiportable) akawa anapenda sana kula mdudu ilipofika 2020 alikua kifutu yaan kafutuka futuka na radha ya kumpenda ikaishia hapo
Ila pia aliniambukiza ugonjwa mmoja wa bacteria ambao nilitumia pesa mingi kuutibu, relationship ended there sasa hivi sijui ana hali gani uko alipo maana alikua anajizima maumivu aliyokua anayapitia kwa kuumwa kichwa kwa kunywa pombe kaaaali usishangae mabinti wa R chuga kubugia mipombe mikali, learn from here
Acha kufuatilia mambo yasokuhusu.Mimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato.
Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia achana na hugo gudude ni gubaya.
Akaniahidi kuwa ameacha, lakini kila baada ya muda kidogo namkuta tena anakula gudude.
Je nifanyeje aache kula hugo gudude?
Dini yenu inakataza kula pork ila inaruhusu nyie kunyonyana mate, hiyo ni dini au utopolo wa dini ?Hujui kwamba tunanyonyana denda? Huoni ananilisha na mimi bila ridhaa yangu?
Umetoa terminologies nzito nzito kutoa empty threats.Subiri hadi Campylobacteriosis ianze kumtafuna ndio ataelewa, au subiri hadi Cysticercosis impige kidogo ataelewa madhara Ila akiendelea kua mbishi basi usiwe na wasiwasi maana Neurocysticercosis itampa somo
The tapeworm eggs hatch, but instead of developing into an adult tapeworm in the intestines, they burrow into the bloodstream as would normally occur in a pig. In a human, they often end up in the brain, forming cysts that cause a disease called neurocysticercosis. It can cause seizures, headaches and can lead to death.
Ushauri wangu: muache aendelee kula pork madhara atayaona baadae saaana
It turns out to be a funny news.Andaa maumivu ya UBUNGO
Huyu mjomba hua anajisevia chakula kwenye UBONGO wako ukila PiG na yeye anakula, usipokula anakushambulia uagize PiG ule hapo ndio unaanza kusikia maumivu ya kichwa
Good News right?
View attachment 2518345
Afya ipi?Nguruwe ana madhara mengi kuliko faida kiafya ngurue ni sumu.
Nikimaliza kusoma huu uzi lazima nikaagize nusu kilo ya Kitimoto ili kukata moto maneno ya wadwanzi wanaoichafua hii nyama.Basi Mimi ndio napenda Mbuzi balaa maana hana madhara makubwa sio PiG mnyama hatari kwa afya, Mbuzi napenda sana supu ya Kichwa mzee tamu balaa
Muslims wenye vitambi, wanavitoa wapi ?Noma hilo dubwasha mtu akilila ndani ya miaka 10 mrejesho anakua ameshaupata, anafutukafutuka waangalie Wala PiG wote matumbo yao utanielewa nazungumzia nini hakuna mla PiG asie na kitambi