kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,178
- 1,596
Mpo mkoa gani?Yaan issue ni kwamba hakukosa nguvu za kiume sahv au tukiwa tushaingia kwenye ndoa, issue ni kwamba sikumkuta nazo yaan hata hiki kidogo sahv hakuwa nacho alikuwa kalegea kabisa kama ni umeme ulikuwa umekatika kabisa nikajifanya kiherehere kumbebea madhaifu yake atengamae lakin naona ndo ananilipa
Basi wanawake wote aliodate nao walikuwa hawajiwezi kitandani kiasi cha mimi kumkuta amelegea kiasi kile? Tatizo lingeanza ndoani sawa lakin kuanzia mwanzo, Yale mapenzi motomoto ya wapenzi wapya yangemfanya basi asimamishe au awe na nguvu za kuelewekaSahii kabisa,
Kinachowadanganya wanawake wanadhani wote uwezo kitandani umelingana, mtoa mada awacheck makungwi wamsaidie awe fundi kitandan
Hawajiulizi kwann tafiti zinaonesha wanunuaji wakubwa wamakahaba Hapa mjini Ni wanaume waliooa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Inaumiza Sana,Imagine ndo tupo honeymoon jamaa anachati na michepuko
Mimba kuingia Kama Yuko danger days Mbona Ni dkk sifur chief[emoji4]Sasa watoto mlipataje? Kwamba zile sekunde kumi chali ndixo zilizokubebesha mimba au?
Hii wala haipo kwenye mpango wangu, sitachepuka kwa hali yoyote ile mimi haya boyfriend tu sijawahi kumsaliti itakuwaje mume?Ushauri usiokuwa na chembe ya unafki. Tafta Mwana humu kwa makubaliano flani, akunjunje, maana Ukwasu kwa miaka6 sio mchezo utadata, tafta mtu akupe unachotaka umwage mpaka Ubongobalafu rudi katulie na mmeo. Sikutumi ukaziniwe, ila kwa maelezo yako unatamani upate mtu akupige mashine kisawa sawa sababu umesema hutaki kumwacha mpendwa wako..cheat japo mara moja, ila usibet Tafta mtu mwenye Afya zake. Mkaziniane kisha ukatulie ulee familia
Siyo kweli, nasema hvi sababu nliwahi kujibishana na mchepuko wake akasema mwanaume mwenyewe Hamna kitu kwahyo anadhalilisha tu
Asante sana deepDah! Inaumiza Sana,
Sema nikutoe wasiwasi dada angu,
Si mumeo anachepuka ukaconclude hakupendi
Mumeo anakupenda sana ndo maana kawaacha Mchepuko na kukuoa wewe.
You are wife material and good wife kuliko hao anaolala nao, that's why Anafanya Maendeleo na wewe kwny familia.
Pia kwa miaka yote umemvumilia pamoja na kumfishia madhaifu yake kwa Muda wote huo.
Jamaa anatambua thaman yako that's why hathubutu kukuacha Wala kuwekeza Nje.
Hapa tafuta ushaur wa kuijenga ndoa yako na sio kuibomoa, bado naaamini mumeo bado Ni mme Bora kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tokea ananiapproach, hadi ndoa inamaana hajawah kiwa na hisia na mimi? Halaf vipi alivyo anza kusimamisha hata kwa dakika chache hizo hakuwa na hisia na mm? Maana nlikuta mnara hausomi kabisa, huwa anadai halali nao anajifurahisha tu lakini hainiingii akilini mwanaume kuchepuka halaf asilale nao
Hili suala ntaliongea kwa upande wangu,Basi wanawake wote aliodate nao walikuwa hawajiwezi kitandani kiasi cha mimi kumkuta amelegea kiasi kile? Tatizo lingeanza ndoani sawa lakin kuanzia mwanzo, Yale mapenzi motomoto ya wapenzi wapya yangemfanya basi asimamishe au awe na nguvu za kueleweka
My mom once toldHabari wakuu, leo nami ngoja nitoe ya moyoni nipate ushauri. Nimeolewa na ndoa yangu ina miaka sita sasa na tumejaaliwa watoto wawilj wakike na wa kiume.
Nlikutana na mume wangu akiwa na tatizo, hakuwa anasimisha uume yaan alikuwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, ktk uchumba wetu tulikuwa tukijaribu Mara kwa Mara lakini inashindika uume ilikuwa hauwezi kusimama na ukisimama akaingiza unasinyaa hapohapo, mm nlikuwa nkimwonea huruma sana nikafikia hatua nikasema labda nimuache maana kuishi na mwanaume mwenye tatizo hilo inahitaji uvumilivu lakin nikapata huruma nikajitoa kumsaidia ili awe sawa, nikawa najitahd kumuhimiza na kumwelekeza vyakula vya kumsaidia na nligundua hayuko sawa kimawazo n.k
Basi tukaenda hvyoo, akawa anapata nafuu nlijitahd sana kumpa amani, kumchangamsha kumfanya ajiskie comfortable asione kama ni issue kubwa akapata woga na akajihisi inferior, ni kweli ilisaidia sana, maana alianza kusimamisha tukiwa ktk romance lakin akiingiza basi inakuwa inalegea baada ya dakika kama tatu tofauti na mwanzo.
Aliendea kutumia juice na vyakula vya kumsaidia had akaweza kuwa inasimama lakin kwa muda kidogo na tukifanya basi ni dakika tano nyingi lakini nlimvumilia, na hapo hapo akawwza kupata kazi then tukakaa mwaka mmoja baada ya yeye kupata kazi akatangaza ndoa tukaoana. Kilichonifanya kuomba ushauri ni kwamba sina hisia tena na Mme wangu, najiskia kutompenda tena na nimejitahd sana kuweka mazingira ya kumpenda tena lakin wapi sababu anachepuka sana yaan ile hamu yakuwa nae na ninajua anachepuka halaf sasa mchepukaji mwenyewe ndo huyo inanikera, kibaya zaidi anachepuka saa nyingine na wanawake wa mtaani naona aibu sana.
Tumejaribu kusuruhishwa na wazazi lakin hata akikiri na kuomba msamaha haachi, naishi nae sababu ya watoto wetu lakin kwakweli sina hisia nae tena, nlijaribu kutafta uhamisho labda nikae nae mbali uhamisho nimekosa, ndani inaonekana ipo aman tunacheka, tunaongea, maendeleo ya familia tunafanya lakin kwakweli simpendi nawaza ntaenda na hii hali hadi lini? Ikiwa ndo Mme wangu kufa kuzikana? Nashindwa kupona sababu nimekuwa nkimfumania mara kwa mara lakini baada ya muda anachepuka tena imefika muda basi namwacha afanye atakavyo lakin roho linauma. Kuhusu kupona hajapona vizuri miaka yote hii 6 maana anaenda dakika hazizidi tano na hajawahi kurudia tendo mara mbili nisijue huko anakochepukia, labda anawapoza na vihela maana anabebaga wanawake wa hadhi za chini sana maana ye kipato chake ni cha chini au niseme ni cha kawaida tu.
Nifanyeje mimi binafsi niwe na amani ya moyo, nimpende tena? Maana yote nafanya, tendo la ndoa tunashiriki kwa uchache tunaweza kukaa hata miezi miwili hatujashiriki mpaka mimi nijisogeze bila hivyo hawezi hata kuomba au kunipapasa ili tufanye tendo, mimi ndo huwa naanza.
Dah!Siyo kweli, nasema hvi sababu nliwahi kujibishana na mchepuko wake akasema mwanaume mwenyewe Hamna kitu kwahyo anadhalilisha tu
Hakuwa na nguvu na akakuapproach mpaka ukawa demu wake, ila huamini anaposema anachukua brand nyingine kwa ajili ya kuziangalia mipododo tu na kushika shika!!! Inakuwaje unakuwa mbishi hivyo kuamini wakati una mfano halisi kabisa wa wewe mwenyewe?Yaan issue ni kwamba hakukosa nguvu za kiume sahv au tukiwa tushaingia kwenye ndoa, issue ni kwamba sikumkuta nazo yaan hata hiki kidogo sahv hakuwa nacho alikuwa kalegea kabisa kama ni umeme ulikuwa umekatika kabisa nikajifanya kiherehere kumbebea madhaifu yake atengamae lakin naona ndo ananilipa
Yaan mm sitahangaika kumtaftia madawa maana mimi cyo muumini wa madawa hayoOgopa Sana wanaojitangaza kukuuzia madawa ya kumpa mumeo,
Siku ukinaswa unamkorogea mumeo madawa, usije ukaachika kwa kusingiziwa ushirikina.
Nnachokiona Ni tatzo la kisaikolojia Zaid kwa mumeo, kwann nje apige na kwako asipige. Fikiri kwa makini Hilo suala sista.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja[emoji120]Mimba kuingia Kama Yuko danger days Mbona Ni dkk sifur chief[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hii hii take home ya laki tano?Dah!
Mumeo atakua anahonga Sana Basi,
Hao mahawara zake Wanampendea hela tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maelezo yako,Asante sana deep
Sahii kabisa,Kama ni hivyo inawezena kweli halali nao ,kwa maelezo yako kwamba hata wewe ulivyoanza naye alikuwa mashine haisimami means hata kwa hao wapya mwendo ni ule ule.
Na pia umesema kamba mnaweza kukaa miezi miwili bila ku-do nahisi huko nje inawezekana labda anajaribu kutest kama mashine inaweza kuamka sana kwa mademu tofauti.
Aisee kwa huyo usiwe na wasiwasi ,nadhani hiyo situation imemuathiri kisaikolojia ndiyo maana anajribu kutest huko nje kama "Mandonga" atainuka.
Endelea kumpeti peti hivyo hivyo ,halafu usisibiri mpaka mwezi upite ,jaribu kufanya naye kila week ,i hope hiyo shida itaisha.
Vzur, usije thubutu.Yaan mm sitahangaika kumtaftia madawa maana mimi cyo muumini wa madawa hayo
Jamaa umempa madini mno huyu dada. Sasa kazi kwakeVzur, usije thubutu.
Wanaume hatuvumiliagi ushirikina,
Utashangaa mumeo anaogopa kula chakula chako
Sent using Jamii Forums mobile app