Wa pweke wengi sana humu.. wengine wanatoa ushauri sa tisa usiku huu wa manane wkt ilitakiwa wawe wamelala sa izi
hata upate mtu haitakusaidia,unatakiwa ujifunze to be friend yourself first otherwise utakuwa mzigo kwa utakayempata. hujipendi shida ndo hiyo,learn to love yourself fully,utampa nini huyo wakati huna na umeshindwa kujipa mwenyewe?Asee utu uzima dawa π
Mimi ni mwanaume mtu mzima 35+ ila niseme ukweli moyo wangu unavuja damu za kutosha kila nikiingia nyumbani baada ya mihangaiko nakuwa na void moyoni isiyopimika
Sasa hivi kuna kazi inatakiwa nifanye ila nimeshindwa kabisa kufanya asee yaani najisikia kufa kufa hapa nilipo.
Kwa nje naji present kama mtu mgumu ila ndani nateketea vibaya mnoo nasikia kama mtu anachana chana huu moyo by the way naishi mwenyewe sijui ndo sababu au ni nn? Yaani najisikia vibaya kama mgonjwa hii kazi sijui nifanyeje nimevumilia nimechoka nipeni ushauri
Nikitafuta demu itasaidia? Japo Mungu hawezi kukupa vyote hilo nimeamini asilimia 100 π
Asee utu uzima dawa π

FOr how long now?ππππππ Roho inataka kutoka hapa na sijui chanzo ni nn!
Toka valentine?π©π©Hiyo haijanisaidia chochote japo mara ya mwisho ni valentines day huko
Kweli ni kupokezana vijiti tuMiji una shift mkuu, wewe ukilala wengine wanaamka ama hujiulizi saa kumi kasoro daladala zinaanza kupiga kazi mjini. Hao watu huwa wanatoka wapi π
No fap umefika siku ya ngapi mkuuAsee utu uzima dawa π
Mimi ni mwanaume mtu mzima 35+ ila niseme ukweli moyo wangu unavuja damu za kutosha kila nikiingia nyumbani baada ya mihangaiko nakuwa na void moyoni isiyopimika
Sasa hivi kuna kazi inatakiwa nifanye ila nimeshindwa kabisa kufanya asee yaani najisikia kufa kufa hapa nilipo.
Kwa nje naji present kama mtu mgumu ila ndani nateketea vibaya mnoo nasikia kama mtu anachana chana huu moyo by the way naishi mwenyewe sijui ndo sababu au ni nn? Yaani najisikia vibaya kama mgonjwa hii kazi sijui nifanyeje nimevumilia nimechoka nipeni ushauri
Nikitafuta demu itasaidia? Japo Mungu hawezi kukupa vyote hilo nimeamini asilimia 100 π
Kupata furaha kwa mapenzi ya demu, ni artificial na success rate ni 0.001%, jitafutie furaha mwenyewe, hao binadamu wa kike wanaweza kukupigaa sonona, be happy yourself kwanza ndyo uchague unayemtaka, hata akikuzingua hauwezi teseka.Asee utu uzima dawa π
Mimi ni mwanaume mtu mzima 35+ ila niseme ukweli moyo wangu unavuja damu za kutosha kila nikiingia nyumbani baada ya mihangaiko nakuwa na void moyoni isiyopimika
Sasa hivi kuna kazi inatakiwa nifanye ila nimeshindwa kabisa kufanya asee yaani najisikia kufa kufa hapa nilipo.
Kwa nje naji present kama mtu mgumu ila ndani nateketea vibaya mnoo nasikia kama mtu anachana chana huu moyo by the way naishi mwenyewe sijui ndo sababu au ni nn? Yaani najisikia vibaya kama mgonjwa hii kazi sijui nifanyeje nimevumilia nimechoka nipeni ushauri
Nikitafuta demu itasaidia? Japo Mungu hawezi kukupa vyote hilo nimeamini asilimia 100 π
Unataka kuasi chama lenu la kataa ndoa.Asee utu uzima dawa π

Hilo la upweke ni kweli, nime sikitika sana ππSometimes kataa ndoa wapo sahihi, sometimes hawapo sahihi.
Ww tafuta njia ya kuepukana na upweke hata kama hy njia ina mapungufu.
Sasa kumbe hauna demu wala mke? Shida yako ndio hiyo tu...Asee utu uzima dawa π
Mimi ni mwanaume mtu mzima 35+ ila niseme ukweli moyo wangu unavuja damu za kutosha kila nikiingia nyumbani baada ya mihangaiko nakuwa na void moyoni isiyopimika
Sasa hivi kuna kazi inatakiwa nifanye ila nimeshindwa kabisa kufanya asee yaani najisikia kufa kufa hapa nilipo.
Kwa nje naji present kama mtu mgumu ila ndani nateketea vibaya mnoo nasikia kama mtu anachana chana huu moyo by the way naishi mwenyewe sijui ndo sababu au ni nn? Yaani najisikia vibaya kama mgonjwa hii kazi sijui nifanyeje nimevumilia nimechoka nipeni ushauri
Nikitafuta demu itasaidia? Japo Mungu hawezi kukupa vyote hilo nimeamini asilimia 100 π
una rudi nyumbani hata mood ya kupika aua kula huna, yaani una ona una rudia process zile zile tu.Asikwambie mtu, upweke ni balaa.
Mtu anakunywa bia 4+ anarudi nyumbani anakunywa dawa za usingizi waapi macho hayafumbi hadi asubuhi.
Na kama si upweke kuna kitu kinaitwa anxiety, sema vinatibika mtu akiwaona wataalam wa afya.
Usingizi ni dawa.
kaka hata mimi nili karibia kuandika Uzi, maisha yangu kwa Sasa ni very boring kiukweliππ.Kweli kabisa, mimi naomba kuongeza hadi 95 kwa uzoefu wangu binafsi.
Naunga mkono hoja yako, ndoa ni mkataba wa KITAPELI.Kata ndoa hawapingani na mahusiano ya mwanaume na mwanamke, wanachopingana nacho ni ule mkataba wa kitapeli. Mimi binafsi naishi na mwanamke na nimefuata taratibu zote za kumchukua kutoka nyumbani kwao lakini ule mkataba wa ndoa siwezi kusaini kwa sababu kwa ndoto nilizokua nazo endapo ndoa ikivunjika mbele ya safari nitaanguka pakubwa sana
Kwahy unakaa nae kitaalamu πKata ndoa hawapingani na mahusiano ya mwanaume na mwanamke, wanachopingana nacho ni ule mkataba wa kitapeli. Mimi binafsi naishi na mwanamke na nimefuata taratibu zote za kumchukua kutoka nyumbani kwao lakini ule mkataba wa ndoa siwezi kusaini kwa sababu kwa ndoto nilizokua nazo endapo ndoa ikivunjika mbele ya safari nitaanguka pakubwa sana
au kitambaa cheupe pale hawezi kufeliππPitia maeneo ya Riverside pale jioni jioni hali hio itaisha tu. Pendelea sana kuchill Mi Casa.