Nifanyeje wanangu wawe na akili nyingi darasani

mwenzenu anataka msaada hawa n watoto wetu woteee dharauu hazinaa maana ati la sita?
M huko lakn nahitaji mtoto huyu apate soln shuleni
 
Watumie vitamins na omega oils, asubuhi kabla ya kuenda shule wale ndizi na mayai ya kuchemsha, zinasaidia kumbukumbu na kuwa active.
 
Wakat mwingine huwa ni mambo ya urithi muhimu wape chakula bora, kujumuika na watoto wa rika lao, wapate muda maalum wa kupumzika( kulala) ikiwemo mchana mengine nature will take it's course .
 
Fanya unaloona linafaa, wengine tukiwa watoto tulikua vilaza wa kutupwa ila kadri siku zinavyosonga ndo mtu anazidi kujitambua.

Kuna bwa.mdogo alikua kinara kuanzia darasa la 5-7, form 1 vipaji maalum na huko akawaongozea kiwilaya mitihani yote hadi anamaliza form 4.

Ila kabla ya hapo darasa la 1 hadi la 4 nafasi zake zilikua 20+, lakini kadri siku zinaenda kijana aliimprove sana, so wape muda.
 
Walishe vyura na konokono.
 
Mkuu ulipaswa kujiuliza au kuuliza hilo swali angalau miezi mitatu kabla ya ujauzito, kwasasa umechelewa kidogo japo sijui umri wao.
Maandalizi ya akili ya mtoto kwa kiwango kikuwa huanzia miezi mitatu kabla na baada ya ujauzito, miezi au umri unaofuata ni kuimarisha na kuboresha tu.
 
Watoto wetu wana uwezo tofauti-tofauti kwenye mambo mbalimbali.
Tujifunze kuwaelewa watoto wetu na kuwekeza kwenye strengths zao badala ya kuwang'ang'aniza kufit kwenye mfumo.
 
Hakuna ukweli mwingine zaidi ya huu..

Kuna jamaa tulisoma nae darasa la 1 hadi la 7 alikuwa kipanga form 1 hadi 4 alipoteana

Mtoto akiwa mdogo mzingatie sana kwenye vyakula vinavyo jenga akili
 
Uongoo huo kufanya vizuri sio elimu ya wazazi ni uelewa wa mtu binafsi kuna wale wazito kuelewa na wepesi kuelewajua hilo so usiseme huo ujinga elimu mtu aliyonayo sio vigezo vya watoto kupata ufaulu darasani.
 
Uongo huo
 
Mwanangu anajua Sana mahesabu yupo kayumba standard 4 akili nyingi sanaa amekua wa 5 Kati ya 278

NB.
Usitegemee kuoa au kujaza mimba mwanamke asiye na akili IQ ukategemea utazaa watoto wenye akili..my friend never.

Nyumbani kwetu tumboni mwa mama angu watoto wake wote wa 5 wote wanaelimu ya chuo kikuu wakati mwingine hizi akili zinaendana na ukoo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…