FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
"Kuleni kuku, mayai, mboga samaki maziwa na kujenga nyumba safi pakulala pawe bora".Vyakula vipi vina husika
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Kuleni kuku, mayai, mboga samaki maziwa na kujenga nyumba safi pakulala pawe bora".Vyakula vipi vina husika
Ova
Sasa sisi wazazi ambao tukitoka job tunapitia kupoza koo na kurudi home madogo wakiwa wameshalala unatuambiaje sasa.Mimi binti yangu ananiona toka akiwa kadogo kabisa nikijisomea vitabu ,kakua kwenye hiyo hali yakuiga na yeye kupenda kujisomea ,kwa sasa nipo nae mbali ila hata tukiongea kwa simu tu anaomba nimletee vitabu vizuri vya stories mbalimabali .
Hii ilimjengea uwezo wa kupenda kusoma na kudadisi mambo mbalimabali, wewe kama mzazi matendo yako yanamchango mkubwa sana kumjengea mwanao mazoea mazuri au mbaya ambayo yatamjenga au kumbomoa kwenye makuzi yake na hata maisha yake ya baadae .
Wadada wengi wenye watoto na wazazi wengi wanapenda kushinda wanachati mda wote huku wakitaka mtoto wao apende kujisomea !! Apo Lazima wafeli tu.
Kuna asilimia kubwa ya baadhi ya madogo pia na wao watakua wanatoka job na kupooza koo kama baba yao😁😁😁Sasa sisi wazazi ambao tukitoka job tunapitia kupoza koo na kurudi home madogo wakiwa wameshalala umatuambiaje sasa.
Mama Pretty salama?Na mama pia
Hiko kiparagrafu cha mwanzo……. Wasipokuelewa basi achana nao. 😅Ukitaka kuwa na watoto vipanga darasani hakikisha unaoa mke kipanga haswa.Yaani mkeo awe mwerevu Kweli Kweli.
Then hakikisha watoto wako hawali ugali kbsa coz Ni chakula kinachodumaza akili.
shida nn tena jamaniUna kesi na mimi kiufupi nimekununia
🤣🤣 kaka ndo useme bichwa maji si useme tu kuwa hawana akili! bichwa maji imekaa kikatili sana!Akili hufuata mkondo,kama wazazi bichwa maji,likewise kwa watoto,hakuna dawa hapo ulikosea kuchagua mke kilaza kwa kuangalia shape badala ya kichwa
Kwakweli asitusumbulie watoto. HahahaKama wazazi ni wazito ndo imeisha ivoo, tena akiwa wife ndo bye bye 😁
Labda ufanye vitu kwa kiasi. Pengine hizo tuitions za kufa mtu ndio unazidi kuchosha akili zao. Jaribu kuwa unawasliana kwa karibu na walimu wao wa darasa kujua zaidi changamoto zao. Wazazi wa siku hizi busy sana kutafta hela muda wa kuwa na watoto unakuwa mdogo. Fatilia vizuri na ratiba zao za nyumbani zilivyo wakitoka shule. Jitahidi vyakula kama parachichi, almonds zinasaidia mambo ya kumbukumbu.Miongoni mwa mambo ya maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu. Kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi pia tunaishia kutamani tu hasa tunapoona watoto wa wengine wakifanya maajabu katika masomo yao.
Kwangu mimi wanangu hawaendi nitakavyo, mimi pamoja na wanangu kusoma shule za binafsi, English mid. Anayejua siri ya watoto kufanya vizuri anipe wandugu.
Nimejitahodi kuwakazania kusoma na kuwasaidia mimi mwenyewe. Tuition za kufa mtu, vitabu nanunua. Wakifeli na fimbo wanapata, wakifaulu zawadi wanapata. Lakini sioni kufanya vizuri kule mimi ninakotaka, inaniuma sana.
NIFANYEJE
Tunaunda bodi ya bangi kwanza na dadayangu soon anakuja hukuu
Akili zenu za kuunga unga alafu unataka watoto wawe vipanga?alafu ukute pamoja na kuunga unga we kwenu ndo ulionekana kipangaSawa mama yao hajasoma sana, baba yao amesomasoma na kifanya vizuri shuleni.
Ukizaa tujuze tuje kukupa somoAkili zenu za kuunga unga alafu unataka watoto wawe vipanga?alafu ukute pamoja na kuunga unga we kwenu ndo ulionekana kipanga
HahaaaaUko sahihi 100%. Mimi baba yangu hakuwahi kunichapa hata ningekuwa karibu wa mwisho. Wala hajawahi kunigombeza kisa sijafanya vizuri darasani. Sema baadae nilikuja kumshtukia huwa anamalizia hasira zake kwenye makosa mengine yasiyohusiana na darasani. Yaani kipigo chake anaunganisha mambo yote.
Na hiyo ndiyo tofauti kubwa ya dunia ya kwanza na ya tatu.Hii ni kweli kabisa!
Ila wengi wetu tunafanya kinyume kutokana na wingi wa familia ukijumlisha kipato kidogo
Somo gani?mimi mtoto wangu yuko la sitaUkizaa tujuze tuje kukupa somo
Wenda wapo na talent kubwa hujagunduaMiongoni mwa mambo ya maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu. Kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi pia tunaishia kutamani tu hasa tunapoona watoto wa wengine wakifanya maajabu katika masomo yao.
Kwangu mimi wanangu hawaendi nitakavyo, mimi pamoja na wanangu kusoma shule za binafsi, English mid. Anayejua siri ya watoto kufanya vizuri anipe wandugu.
Nimejitahodi kuwakazania kusoma na kuwasaidia mimi mwenyewe. Tuition za kufa mtu, vitabu nanunua. Wakifeli na fimbo wanapata, wakifaulu zawadi wanapata. Lakini sioni kufanya vizuri kule mimi ninakotaka, inaniuma sana.
NIFANYEJE
Form sixSomo gani?mimi mtoto wangu yuko la sita