Nifanyeje wanangu wawe na akili nyingi darasani

Usiwalazimishe watoto kuwa na ufaulu mkubwa wa darasani bali aangalia vipaji vyao vipo wapi. Then wasaidie kufikia kiwango cha juu kuweza kuzzitumia vizuri vipaji vyao. Ufaulu mkubwa tu wa darasani siyo kigezi cha watoto kufanikiwa kupambana na mazingira na kufaulu maisha. Bill gate alikuwa kilaza darasani
Nani amekuambia Bill Gates alikua kilaza? Uyo jamaa kasoma hesabu na sayansi na chuo kasoma harvard pale wanaingia vipanga iyo aptitude test ya kuingia harvard alipiga maksi 1590 ya 1600 halafu unasema alikua kilaza au unachanganya kuacha chuo na kufeli?.
 
Miongoni mwa mambo ya maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu. Kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi pia tunaishia kutamani tu hasa tunapoona watoto wa wengine wakifanya maajabu katika masomo yao.

Kwangu mimi wanangu hawaendi nitakavyo, mimi pamoja na wanangu kusoma shule za binafsi, English mid. Anayejua siri ya watoto kufanya vizuri anipe wandugu.

Nimejitahodi kuwakazania kusoma na kuwasaidia mimi mwenyewe. Tuition za kufa mtu, vitabu nanunua. Wakifeli na fimbo wanapata, wakifaulu zawadi wanapata. Lakini sioni kufanya vizuri kule mimi ninakotaka, inaniuma sana.

NIFANYEJE
Change approach yako, when it comes to gaining knowledge, watoto hawafanani kiakili, find out watoto wako wanapenda nini start from there
 
Miongoni mwa mambo ya maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu. Kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi pia tunaishia kutamani tu hasa tunapoona watoto wa wengine wakifanya maajabu katika masomo yao.

Kwangu mimi wanangu hawaendi nitakavyo, mimi pamoja na wanangu kusoma shule za binafsi, English mid. Anayejua siri ya watoto kufanya vizuri anipe wandugu.

Nimejitahodi kuwakazania kusoma na kuwasaidia mimi mwenyewe. Tuition za kufa mtu, vitabu nanunua. Wakifeli na fimbo wanapata, wakifaulu zawadi wanapata. Lakini sioni kufanya vizuri kule mimi ninakotaka, inaniuma sana.

NIFANYEJE
Wafungulie Accounts zao hapa JamiiForums na waambie wahakikishe wawe Wananisoma sana GENTAMYCINE watakuwa Genius kama Mimi.
 
Miongoni mwa mambo ya maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu. Kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi pia tunaishia kutamani tu hasa tunapoona watoto wa wengine wakifanya maajabu katika masomo yao.

Kwangu mimi wanangu hawaendi nitakavyo, mimi pamoja na wanangu kusoma shule za binafsi, English mid. Anayejua siri ya watoto kufanya vizuri anipe wandugu.

Nimejitahodi kuwakazania kusoma na kuwasaidia mimi mwenyewe. Tuition za kufa mtu, vitabu nanunua. Wakifeli na fimbo wanapata, wakifaulu zawadi wanapata. Lakini sioni kufanya vizuri kule mimi ninakotaka, inaniuma sana.

NIFANYEJE
Hakuna mtoto asiye na kichwa.

Anzia nyumbani, home schooling, shule ni kumalizia tu.

Unatakiwa kama mzazi usimame kidete, kujuwa wanachosoma nini, njia rahisi ya kumsomesha mtoto ni wewe kuwa mwanafunzi wake.
 
Mchakato wa kupata degree ya UDSM ni mgumu sana. Pale six inabidi upasue kwelikweli. Na enzi zetu kulikuwa na mtihani wa Marticulation.. na bado mkiwa chuo mnakutana na waalimu wanoko.

Ni hayo tu kuhusu degree za UDSM?
 
Miongoni mwa mambo ya maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu. Kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi pia tunaishia kutamani tu hasa tunapoona watoto wa wengine wakifanya maajabu katika masomo yao.

Kwangu mimi wanangu hawaendi nitakavyo, mimi pamoja na wanangu kusoma shule za binafsi, English mid. Anayejua siri ya watoto kufanya vizuri anipe wandugu.

Nimejitahodi kuwakazania kusoma na kuwasaidia mimi mwenyewe. Tuition za kufa mtu, vitabu nanunua. Wakifeli na fimbo wanapata, wakifaulu zawadi wanapata. Lakini sioni kufanya vizuri kule mimi ninakotaka, inaniuma sana.

NIFANYEJE
Nyie Mnazo akili, yaani wewe mama yao zimo?
 
Hata mimi kiukweli Natamni Mungu anisaidie kiukweli nina mwanangu wa kike hata afundishweje anasahau hapohapo iwe vyadarasani au kanisani,nilipiga nikapeleka kwa mama lkn wapiiiiii nikapeleka kwa mashangaz lkn wapiiiiii,nimenyoosha mikono juu nimewaambia wasimpige tena
 
Miongoni mwa mambo ya maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu. Kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi pia tunaishia kutamani tu hasa tunapoona watoto wa wengine wakifanya maajabu katika masomo yao.

Kwangu mimi wanangu hawaendi nitakavyo, mimi pamoja na wanangu kusoma shule za binafsi, English mid. Anayejua siri ya watoto kufanya vizuri anipe wandugu.

Nimejitahodi kuwakazania kusoma na kuwasaidia mimi mwenyewe. Tuition za kufa mtu, vitabu nanunua. Wakifeli na fimbo wanapata, wakifaulu zawadi wanapata. Lakini sioni kufanya vizuri kule mimi ninakotaka, inaniuma sana.

NIFANYEJE
we baba ako unazo?? lasivyo usiwa laumu watoto

akili ni genetic
rishe bora ( hii kuepusha udumavu)
Njia nzuri ya kuwaelekeza kulingana na mahitaj ya mtoto.
Lakin kama wazaz akili za darasana hamkuwa nazo msitegemee miujiza
 
Hakuna mtoto asiye na kichwa.

Anzia nyumbani, home schooling, shule ni kumalizia tu.

Unatakiwa kama mzazi usimame kidete, kujuwa wanachosoma nini, njia rahisi ya kumsomesha mtoto ni wewe kuwa mwanafunzi wake.

Na hichi ndio anachokitafuta. Akifanyiwa kazi huu ushauri, utamsogeza kupata jawabu la tatizo lake.

Nafikiri si yeye tu atakenufaika, ni ushauri bora utakaoleta manufaa kwa wazazi/ walezi wengi.
 
Ukitaka kuwa na watoto vipanga darasani hakikisha unaoa mke kipanga haswa.Yaani mkeo awe mwerevu Kweli Kweli.

Then hakikisha watoto wako hawali ugali kbsa coz Ni chakula kinachodumaza akili.
Daa! Sikujua kama ugali unadumaza akili. Labda kwa miaka ya kizazi hiki cha sasa. Miaka ya zamani kidogo, wengine ugali ndio ilikuwa chakula kikuu. Vyakula vingine kama ubwabwa ilikuwa ni kwa siku maalumu tu, kama sikukuu, lakini tulikuwa tunazigonga A za kutosha.
 
Back
Top Bottom