Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Nani amekuambia Bill Gates alikua kilaza? Uyo jamaa kasoma hesabu na sayansi na chuo kasoma harvard pale wanaingia vipanga iyo aptitude test ya kuingia harvard alipiga maksi 1590 ya 1600 halafu unasema alikua kilaza au unachanganya kuacha chuo na kufeli?.Usiwalazimishe watoto kuwa na ufaulu mkubwa wa darasani bali aangalia vipaji vyao vipo wapi. Then wasaidie kufikia kiwango cha juu kuweza kuzzitumia vizuri vipaji vyao. Ufaulu mkubwa tu wa darasani siyo kigezi cha watoto kufanikiwa kupambana na mazingira na kufaulu maisha. Bill gate alikuwa kilaza darasani
Mchakato wa kupata degree ya UDSM ni mgumu sana. Pale six inabidi upasue kwelikweli. Na enzi zetu kulikuwa na mtihani wa Marticulation.. na bado mkiwa chuo mnakutana na waalimu wanoko.Degree za UDSM nimefanyaje?
Change approach yako, when it comes to gaining knowledge, watoto hawafanani kiakili, find out watoto wako wanapenda nini start from thereMiongoni mwa mambo ya maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu. Kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi pia tunaishia kutamani tu hasa tunapoona watoto wa wengine wakifanya maajabu katika masomo yao.
Kwangu mimi wanangu hawaendi nitakavyo, mimi pamoja na wanangu kusoma shule za binafsi, English mid. Anayejua siri ya watoto kufanya vizuri anipe wandugu.
Nimejitahodi kuwakazania kusoma na kuwasaidia mimi mwenyewe. Tuition za kufa mtu, vitabu nanunua. Wakifeli na fimbo wanapata, wakifaulu zawadi wanapata. Lakini sioni kufanya vizuri kule mimi ninakotaka, inaniuma sana.
NIFANYEJE
Wafungulie Accounts zao hapa JamiiForums na waambie wahakikishe wawe Wananisoma sana GENTAMYCINE watakuwa Genius kama Mimi.Miongoni mwa mambo ya maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu. Kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi pia tunaishia kutamani tu hasa tunapoona watoto wa wengine wakifanya maajabu katika masomo yao.
Kwangu mimi wanangu hawaendi nitakavyo, mimi pamoja na wanangu kusoma shule za binafsi, English mid. Anayejua siri ya watoto kufanya vizuri anipe wandugu.
Nimejitahodi kuwakazania kusoma na kuwasaidia mimi mwenyewe. Tuition za kufa mtu, vitabu nanunua. Wakifeli na fimbo wanapata, wakifaulu zawadi wanapata. Lakini sioni kufanya vizuri kule mimi ninakotaka, inaniuma sana.
NIFANYEJE
Hakuna mtoto asiye na kichwa.Miongoni mwa mambo ya maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu. Kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi pia tunaishia kutamani tu hasa tunapoona watoto wa wengine wakifanya maajabu katika masomo yao.
Kwangu mimi wanangu hawaendi nitakavyo, mimi pamoja na wanangu kusoma shule za binafsi, English mid. Anayejua siri ya watoto kufanya vizuri anipe wandugu.
Nimejitahodi kuwakazania kusoma na kuwasaidia mimi mwenyewe. Tuition za kufa mtu, vitabu nanunua. Wakifeli na fimbo wanapata, wakifaulu zawadi wanapata. Lakini sioni kufanya vizuri kule mimi ninakotaka, inaniuma sana.
NIFANYEJE
Mada ya wakubwa watoto kaeni mbali hatutaki mizahaπWanarithi kwa baba na mama
Kama nyie ni vilaza msahau watoto wenu kua na akili nyingi
Mchakato wa kupata degree ya UDSM ni mgumu sana. Pale six inabidi upasue kwelikweli. Na enzi zetu kulikuwa na mtihani wa Marticulation.. na bado mkiwa chuo mnakutana na waalimu wanoko.
Wana akili za mama. Full stop! Usitafute mchawi!Sawa mama yao hajasoma sana, baba yao amesomasoma na kifanya vizuri shuleni.
Nyie Mnazo akili, yaani wewe mama yao zimo?Miongoni mwa mambo ya maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu. Kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi pia tunaishia kutamani tu hasa tunapoona watoto wa wengine wakifanya maajabu katika masomo yao.
Kwangu mimi wanangu hawaendi nitakavyo, mimi pamoja na wanangu kusoma shule za binafsi, English mid. Anayejua siri ya watoto kufanya vizuri anipe wandugu.
Nimejitahodi kuwakazania kusoma na kuwasaidia mimi mwenyewe. Tuition za kufa mtu, vitabu nanunua. Wakifeli na fimbo wanapata, wakifaulu zawadi wanapata. Lakini sioni kufanya vizuri kule mimi ninakotaka, inaniuma sana.
NIFANYEJE
Nimekuelewa π nataka uwe mpenzi wanguπKivipi
Hata mimi kiukweli Natamni Mungu anisaidie kiukweli nina mwanangu wa kike hata afundishweje anasahau hapohapo iwe vyadarasani au kanisani,nilipiga nikapeleka kwa mama lkn wapiiiiii nikapeleka kwa mashangaz lkn wapiiiiii,nimenyoosha mikono juu nimewaambia wasimpige tenaMiongoni mwa mambo ya maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu. Kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi pia tunaishia kutamani tu hasa tunapoona watoto wa wengine wakifanya maajabu katika masomo yao.
Kwangu mimi wanangu hawaendi nitakavyo, mimi pamoja na wanangu kusoma shule za binafsi, English mid. Anayejua siri ya watoto kufanya vizuri anipe wandugu.
Nimejitahodi kuwakazania kusoma na kuwasaidia mimi mwenyewe. Tuition za kufa mtu, vitabu nanunua. Wakifeli na fimbo wanapata, wakifaulu zawadi wanapata. Lakini sioni kufanya vizuri kule mimi ninakotaka, inaniuma sana.
NIFANYEJE
we baba ako unazo?? lasivyo usiwa laumu watotoMiongoni mwa mambo ya maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu. Kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi pia tunaishia kutamani tu hasa tunapoona watoto wa wengine wakifanya maajabu katika masomo yao.
Kwangu mimi wanangu hawaendi nitakavyo, mimi pamoja na wanangu kusoma shule za binafsi, English mid. Anayejua siri ya watoto kufanya vizuri anipe wandugu.
Nimejitahodi kuwakazania kusoma na kuwasaidia mimi mwenyewe. Tuition za kufa mtu, vitabu nanunua. Wakifeli na fimbo wanapata, wakifaulu zawadi wanapata. Lakini sioni kufanya vizuri kule mimi ninakotaka, inaniuma sana.
NIFANYEJE
basi na wao watasomasoma shuleni pia watafanya vizuzriSawa mama yao hajasoma sana, baba yao amesomasoma na kifanya vizuri shuleni.
Hakuna mtoto asiye na kichwa.
Anzia nyumbani, home schooling, shule ni kumalizia tu.
Unatakiwa kama mzazi usimame kidete, kujuwa wanachosoma nini, njia rahisi ya kumsomesha mtoto ni wewe kuwa mwanafunzi wake.
Bint uwe na adabu ukijibu πππWanarithi kwa baba na mama
Kama nyie ni vilaza msahau watoto wenu kua na akili nyingi
Daa! Sikujua kama ugali unadumaza akili. Labda kwa miaka ya kizazi hiki cha sasa. Miaka ya zamani kidogo, wengine ugali ndio ilikuwa chakula kikuu. Vyakula vingine kama ubwabwa ilikuwa ni kwa siku maalumu tu, kama sikukuu, lakini tulikuwa tunazigonga A za kutosha.Ukitaka kuwa na watoto vipanga darasani hakikisha unaoa mke kipanga haswa.Yaani mkeo awe mwerevu Kweli Kweli.
Then hakikisha watoto wako hawali ugali kbsa coz Ni chakula kinachodumaza akili.