X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
Nakataaa 🤔MAMA ZEZETA HUZAA MTOTO ZEZETA.
Hii ndio faida ya kuchagua MATAKO badala ya MKE
AiseeKama utaweza mkuu wajengee ratiba ya kulala mapema then uwe unawaamsha saatisa usiku unakaa nao mnafanya ibada na wanasoma kuanzia dk 40-60 wakishindwa kutoboa kwa viwango ujue hapo hakuna Mwalimu atawaweza.
Hahahaha hiyo amesoma soma imenipa picha, vipi elimu Yako Wazazi walipambana sana kwako hadi kukuletea ticha home? 🤣Sawa mama yao hajasoma sana, baba yao amesomasoma na kifanya vizuri shuleni.
Miongoni mwa mambo ya maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu. Kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi pia tunaishia kutamani tu hasa tunapoona watoto wa wengine wakifanya maajabu katika masomo yao.
Kwangu mimi wanangu hawaendi nitakavyo, mimi pamoja na wanangu kusoma shule za binafsi, English mid. Anayejua siri ya watoto kufanya vizuri anipe wandugu.
Nimejitahodi kuwakazania kusoma na kuwasaidia mimi mwenyewe. Tuition za kufa mtu, vitabu nanunua. Wakifeli na fimbo wanapata, wakifaulu zawadi wanapata. Lakini sioni kufanya vizuri kule mimi ninakotaka, inaniuma sana.
NIFANYEJE
Ubwabwa na ugali vyote siyo vyakula, ni vitoweo tu.Daa! Sikujua kama ugali unadumaza akili. Labda kwa miaka ya kizazi hiki cha sasa. Miaka ya zamani kidogo, wengine ugali ndio ilikuwa chakula kikuu. Vyakula vingine kama ubwabwa ilikuwa ni kwa siku maalumu tu, kama sikukuu, lakini tulikuwa tunazigonga A za kutosha.
Hii ni kweli kabisa!Ubwabwa na ugali vyote siyo vyakula, ni vitoweo tu.
Vyakula (Main sdishes) ni Kuku, mayai, nyama, samaki, mboga, maziwa.
Unatakiwa ule nyama kwa wali/ugali siyo Wali au ugali kwa nyama.
Upo hapo ulipo?
Ugali wa sembe ndio una shida. Atumie mtama, ulezi, ngano, mahindi ambayo hayajakobolewa.Ukitaka kuwa na watoto vipanga darasani hakikisha unaoa mke kipanga haswa.Yaani mkeo awe mwerevu Kweli Kweli.
Then hakikisha watoto wako hawali ugali kbsa coz Ni chakula kinachodumaza akili.
🙂🙂🙂Suala la akili kwa mtoto inategemeana sana na uwezo wa mama darasanii..!! kama mama kichwani mweupee bhasi watoto utawaonea tuuUgali wa sembe ndio una shida. Atumie mtama, ulezi, ngano, mahindi ambayo hayajakobolewa.
umemaliza kila ktu mkuu, ubarikiwe sanaHii kitu bila supplement ya heavy protine ya maziwa na samaki kwisha habari ya watoto kuwa na akili. tegemea kuwa na makuli na wasukuma mikokoteni wenye manguvu.
nakazia nakazia, ephen_ unakumbuka nilikuambiaje kuhusu ugali dagaa?Ubwabwa na ugali vyote siyo vyakula, ni vitoweo tu.
Vyakula (Main sdishes) ni Kuku, mayai, nyama, samaki, mboga, maziwa.
Unatakiwa ule nyama kwa wali/ugali siyo Wali au ugali kwa nyama.
Upo hapo ulipo?
Walete Kawe Kwa MwamposaMiongoni mwa mambo ya maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu. Kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi pia tunaishia kutamani tu hasa tunapoona watoto wa wengine wakifanya maajabu katika masomo yao.
Kwangu mimi wanangu hawaendi nitakavyo, mimi pamoja na wanangu kusoma shule za binafsi, English mid. Anayejua siri ya watoto kufanya vizuri anipe wandugu.
Nimejitahodi kuwakazania kusoma na kuwasaidia mimi mwenyewe. Tuition za kufa mtu, vitabu nanunua. Wakifeli na fimbo wanapata, wakifaulu zawadi wanapata. Lakini sioni kufanya vizuri kule mimi ninakotaka, inaniuma sana.
NIFANYEJE
Wamelogwa haoPole sana inaumiza
Sahihiuz mzuri
Vyakula vipi vina husikaHakuna mtoto asiye na kichwa.
Anzia nyumbani, home schooling, shule ni kumalizia tu.
Unatakiwa kama mzazi usimame kidete, kujuwa wanachosoma nini, njia rahisi ya kumsomesha mtoto ni wewe kuwa mwanafunzi wake.