Nifanyeje wanangu wawe na akili nyingi darasani

Hussein Bolt ❌ Usain Bolt ✅
Kumbe nabishana na mtu m
Nakushukuru kwa kunirekebisha,Ubarikiwe sana mkuu.
Kumbe nabishana na mtu mpumbavu.
Mkuu mimi sina mentality hiyo na sipo hapa kubishana bali nipo katika mjadala ambao natarajia kujifunza vitu kama hapo ambapo umenirekebisha ndio kujifunza kwenyewe.

HIvyo kama upo na mentality ya kubishana sidhani kama kwangu utatoboa maana mimi huwa siandikagi porojo na wanaobishana huwa wakiona porojo ndio wanapata cha kuandika na wanapsta chs kujibu kwa sababu hizo porojo ndio wanazo nyingi na ndio zimewajaa vichwani mwao
Wewe bora ungekaa tu kimya

riadha sio kipaji ni nini?
kwako wewe lazima uelezee kipaji ni nini ili mwisho wa siku tusitofautiane pale ambapo nitakataa ama kukubsli kuhusu riadha kuwa kipaji ama laa.

kipaji ni nini kwako wewe ?

Wewe bora ungekaa tu kimya
MKuu huu sio ugomvi bali huu ni mjadala,usitumie udikteta kuninyamazisha kwenye mjadala huru kama huu.

NDio maana sijakutusi wala kukuvunjia heshim yako japokuwa najua kuna neno upumbavu😀😀.
Ukizidi kuandika utazidi kujivua nguo.
Unatakiwa ujibu hoja ambazo nimeziweka ili mjadala uende vyema na sio kunitisha mkuu,haitosaidia lolote.

Binafsi naamini kam una hoja utajibu,otherwise utasndika hsys haya ambayo uliyaandika hapo juu
 
Miongoni mwa mambo ya maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu. Kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi pia tunaishia kutamani tu hasa tunapoona watoto wa wengine wakifanya maajabu katika masomo yao.

Kwangu mimi wanangu hawaendi nitakavyo, mimi pamoja na wanangu kusoma shule za binafsi, English mid. Anayejua siri ya watoto kufanya vizuri anipe wandugu.

Nimejitahodi kuwakazania kusoma na kuwasaidia mimi mwenyewe. Tuition za kufa mtu, vitabu nanunua. Wakifeli na fimbo wanapata, wakifaulu zawadi wanapata. Lakini sioni kufanya vizuri kule mimi ninakotaka, inaniuma sana.

NIFANYEJE
Ajili zinarithiwa upande wa mama, je mama yao Yuko vzr ?
 
Kwahiyo hiyo mifano yako miwili ndo imekupa majibu ya utafiti wako? Genetics sio myth. Ni kitu halisi ambacho kipo. Mtoto wa mwanariadha kuzaa mtoto mwenye kipaji cha riadha sio ajabu. Ingekuwa genetics haina nchi nyingi ikiwemo Marekani zingetengeneza vipaji vingi vya mpira kwa kusaidiea na mazingira tu kama unavyosema wewe.
Huyo elimu yake ni ya kuunga unga hivyo anadhani na mtoto kuwa na akili inabidi awe anaunga unga kama yeye alivyofanya
 
Nakushukuru kwa kunirekebisha,Ubarikiwe sana mkuu.

Mkuu mimi sina mentality hiyo na sipo hapa kubishana bali nipo katika mjadala ambao natarajia kujifunza vitu kama hapo ambapo umenirekebisha ndio kujifunza kwenyewe.

HIvyo kama upo na mentality ya kubishana sidhani kama kwangu utatoboa maana mimi huwa siandikagi porojo na wanaobishana huwa wakiona porojo ndio wanapata cha kuandika na wanapsta chs kujibu kwa sababu hizo porojo ndio wanazo nyingi na ndio zimewajaa vichwani mwao

kwako wewe lazima uelezee kipaji ni nini ili mwisho wa siku tusitofautiane pale ambapo nitakataa ama kukubsli kuhusu riadha kuwa kipaji ama laa.

kipaji ni nini kwako wewe ?

MKuu huu sio ugomvi bali huu ni mjadala,usitumie udikteta kuninyamazisha kwenye mjadala huru kama huu.

NDio maana sijakutusi wala kukuvunjia heshim yako japokuwa najua kuna neno upumbavu😀😀.

Unatakiwa ujibu hoja ambazo nimeziweka ili mjadala uende vyema na sio kunitisha mkuu,haitosaidia lolote.

Binafsi naamini kam una hoja utajibu,otherwise utasndika hsys haya ambayo uliyaandika hapo juu
Itoshe kusema wewe ni mpumbavu.
 
Kama hawavai chupi kichwani unataka wawe na akili gan? Akiwa na akili za darasan jipange na connection za ajira .best scholar tunahustle
 
4. We Kila siku ukirudi nyumbani kumzukia tu mama Yao Kwa kauli chafu na muda mwingine unampa kisago mbele yao, hapo ukipanga sahau.
Nakazia hapa
UKute kuanzia mimba inatungwa mpk mtoto anazaliwa + makuzi ya ile miaka 5 ya mwanzo mama ni stress tupu...kilio na masononeko kila day , hlf leo unadai mtoto hana akili.

MJifunze kutunza hizo mbegu zenu, cyo kila siku ni pombe ,miraa, energy drink hlf ukatungishe mimba mtoto awe na akili.
 
Akili ina_tegemeana na mazingira wanayoishi.
Akili pia inarithiwa kutoka kwa wazazi.
Wewe ndio umetoa jibu sahihi kuliko watu wote.
Ukiachana na kurithi kwa wazazi pia akili hutegemea mazingira anayoishi kwa mfano unakuta mtoto amezaliwa na akili nyingi lakini nyumbani anapoishi kunakuwa na mambo mengi ya ajabu yanayomfanya akose concentration ya kusoma.
Chukulia mfano mtoto ana akili na ana nia ya kusoma lakini mtaa anaoishi kila siku kuna makelele ya ngoma na disko hatosoma vizuri.
Au unakuta mzazi anayemlea hajui umuhimu wa masomo kwa mfano muda ambao mtoto alitakiwa ajisomee anamtuma kazi nyinginyingi za ajabu muda unaisha na pia inampa stress.
Mtoto kufaulu vizuri inahitaji combination ya watu 3 kushirikiana
1.Mwanafunzi mwenyewe kupenda masomo
2.Walimu kumfundisha kwa wito na kutoa miongozo mbalimbali
3.Ufuatiliaji wa wazazi na kumuandalia mtoto mazingira rafiki ya kielimu
Hivyo vitu vitatu vyote vikiungana kwa usahihi mtoto hufanya maajabu ndio maana unaona wale wanafunzi wanaosomaga seminary/ST. wanatusua na kuingia kwenye kumi bora za kitaifa hii ndio siri yao haimaanishi kwamba wametuzidi sana miakili.
 
Miongoni mwa mambo ya maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu. Kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi pia tunaishia kutamani tu hasa tunapoona watoto wa wengine wakifanya maajabu katika masomo yao.

Kwangu mimi wanangu hawaendi nitakavyo, mimi pamoja na wanangu kusoma shule za binafsi, English mid. Anayejua siri ya watoto kufanya vizuri anipe wandugu.

Nimejitahodi kuwakazania kusoma na kuwasaidia mimi mwenyewe. Tuition za kufa mtu, vitabu nanunua. Wakifeli na fimbo wanapata, wakifaulu zawadi wanapata. Lakini sioni kufanya vizuri kule mimi ninakotaka, inaniuma sana.

NIFANYEJE
Kama kweli unataka wanao wawe na akili darasanı, usiwahusishe kabisa na mambo ya kidini....let them be as hızı dini za kuletewa ni uzushi tu na ufanya watu kuwa wajinga maishani. Waache wasome masomo ya sayansi na hisabati au masomo yoyote wayapendayo na wawe mstari wa mbele katika kujifunza vitu nje ya box, watatoboa maishani.
 
Wewe ndio umetoa jibu sahihi kuliko watu wote.
Ukiachana na kurithi kwa wazazi pia akili hutegemea mazingira anayoishi kwa mfano unakuta mtoto amezaliwa na akili nyingi lakini nyumbani anapoishi kunakuwa na mambo mengi ya ajabu yanayomfanya akose concentration ya kusoma.
Chukulia mfano mtoto ana akili na ana nia ya kusoma lakini mtaa anaoishi kila siku kuna makelele ya ngoma na disko hatosoma vizuri.
Au unakuta mzazi anayemlea hajui umuhimu wa masomo kwa mfano muda ambao mtoto alitakiwa ajisomee anamtuma kazi nyinginyingi za ajabu muda unaisha na pia inampa stress.
Mtoto kufaulu vizuri inahitaji combination ya watu 3 kushirikiana
1.Mwanafunzi mwenyewe kupenda masomo
2.Walimu kumfundisha kwa wito na kutoa miongozo mbalimbali
3.Ufuatiliaji wa wazazi na kumuandalia mtoto mazingira rafiki ya kielimu
Hivyo vitu vitatu vyote vikiungana kwa usahihi mtoto hufanya maajabu ndio maana unaona wale wanafunzi wanaosomaga seminary/ST. wanatusua na kuingia kwenye kumi bora za kitaifa hii ndio siri yao haimaanishi kwamba wametuzidi sana miakili.
🙏
 
Shule zipi? nazani unataka kumanaisha kama wanapiga A darasani, make ndio swaga za English medium, sikiliza A haimanishi akili, tunakwama sana
Siangalii bosi. Naelewa mfumo wa Elimu wa Tz. Ikiwa mtoto anafanya kwa vitendo unayoyahitaji afanye kwangu ni A tosha. Naangalia kwa unri wake km anaweza ku reason, ku criticise, kusuggest, kupangilia mantiki..Acha niendelee kulipa ada huko unapopatilia mashaka
 
Miongoni mwa mambo ya maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu. Kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi pia tunaishia kutamani tu hasa tunapoona watoto wa wengine wakifanya maajabu katika masomo yao.

Kwangu mimi wanangu hawaendi nitakavyo, mimi pamoja na wanangu kusoma shule za binafsi, English mid. Anayejua siri ya watoto kufanya vizuri anipe wandugu.

Nimejitahodi kuwakazania kusoma na kuwasaidia mimi mwenyewe. Tuition za kufa mtu, vitabu nanunua. Wakifeli na fimbo wanapata, wakifaulu zawadi wanapata. Lakini sioni kufanya vizuri kule mimi ninakotaka, inaniuma sana.

NIFANYEJE
Kwenye mlo samaki sato asikosekane....utanishukuru
 
Hakikisha wanasoma BIBLIA,

Kumcha Mungu ndicho chanzo Cha Maarifa HEKIMA na ufahamu.
 
Watoto wengi hawapati muda wa kucheza na kufungua akili zao.

Pili watoto wengi bado hawana exposure na mambo yanayowazunguka,akili zao ni ngumu kufunguka.

Kama wewe unampeleka mtoto darasa la kwanza akiwa na miaka mi4 jambo ambalo ni ukatili kwa mtoto na kumnyima haki yake ya msingi ya kucheza na kufurahia maisha,wakati huo pengine wewe ulianza shule ukiwa na miaka 7,ulipata muda mzuri wa kucheza.

Lakini jambo lingine ni watoto wanakitu inaitwa ADHD yaani wanashindwa kuwa makini na wanakuwa na tatizo la kuwa na shughuli nyingibza mwili ama michezo mingi au kukosa utulivu.
Hivi huko Japani mtu anakuwa na MASTER at 21yrs old anakuwa alianza shule na muaka mingapi?
Mental age vs body/physical age sio kazima viwe sawa. Saikolojia inasema mtoto anaanza kujifunza akiwa tumboni na mara anapozaliwa. Mtoto wa miaka 4 ameisha develop language schemas hivyo anaweza kujifunza chocchote. Mtaala waTZ wenyewe ni cyclic hauna jopya.
Ukimchelewesha mtoto shule unru wa akili utakuwa chini kwa saba u ataishi ktk peer group na atachelewa mambo mengi mbeleni. Shuleni watoto wanapata mda mwingi wa kucheza.
Myoto wa 3 ana 5yrs old amekuwa wa 14. kati ya 60. I do plan kumpa program za kisasa za sakujifunza.
Naamini watoto wangu watakuwa na mda wa kujifunza mambo mengi na ku injoy maisha ktk umri mdogo.
Hapana, In born nature inaifluhence sana akili ya mtoto.
Binafsi nimezaliwa na wazazi wenye akili sana, Na watoto wote katika familia ni wenye akili, za darasani na hata za utatuzi wa mambo mbalimbali.
Tatizo nililojifunza ni kwamba kuna tofauti ndogo sana kati ya akili nyingi na ukichaa.
Hakuna tofauti ndogo bali wote ni exceptional kwa mujibu wa saikolojia.
Mental returded ni exceptional,
Genius nae ni exceptional.
Mmoja +ve na mwingine -ve. From normal.
 
Back
Top Bottom