safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Nakushukuru kwa kunirekebisha,Ubarikiwe sana mkuu.Hussein Bolt ❌ Usain Bolt ✅
Kumbe nabishana na mtu m
Mkuu mimi sina mentality hiyo na sipo hapa kubishana bali nipo katika mjadala ambao natarajia kujifunza vitu kama hapo ambapo umenirekebisha ndio kujifunza kwenyewe.Kumbe nabishana na mtu mpumbavu.
HIvyo kama upo na mentality ya kubishana sidhani kama kwangu utatoboa maana mimi huwa siandikagi porojo na wanaobishana huwa wakiona porojo ndio wanapata cha kuandika na wanapsta chs kujibu kwa sababu hizo porojo ndio wanazo nyingi na ndio zimewajaa vichwani mwao
kwako wewe lazima uelezee kipaji ni nini ili mwisho wa siku tusitofautiane pale ambapo nitakataa ama kukubsli kuhusu riadha kuwa kipaji ama laa.Wewe bora ungekaa tu kimya
riadha sio kipaji ni nini?
kipaji ni nini kwako wewe ?
MKuu huu sio ugomvi bali huu ni mjadala,usitumie udikteta kuninyamazisha kwenye mjadala huru kama huu.Wewe bora ungekaa tu kimya
NDio maana sijakutusi wala kukuvunjia heshim yako japokuwa najua kuna neno upumbavu😀😀.
Unatakiwa ujibu hoja ambazo nimeziweka ili mjadala uende vyema na sio kunitisha mkuu,haitosaidia lolote.Ukizidi kuandika utazidi kujivua nguo.
Binafsi naamini kam una hoja utajibu,otherwise utasndika hsys haya ambayo uliyaandika hapo juu