wanafanya makusudi kuwatisha na kuwalia helaUhaini wa bei ya jioni.
Sio rahisi hivyo ukiangalia wateja wake wengi wako TanzaniaNamshauri akichomoka hapa(endapo atachomoka,maana kwa sasa mahakama za bongo haziangalii vifungu vya sheria ila amri kutoka juu) afunge biashara zake Tanzania(Dar na kule Dodoma) kisha apeleke nchi zenye usalama,Kujielewa na rule of law.
Hii Tanzania ya sasa ni nchi ya kususiwa na kutelekezwa na Kila mtu mwenye akili timamu.
Kakikundi ka watu Fulani kamejipa umungu mtu,kanaamua tukiamka tunaishi vile wanataka na ikiwa kinyume wanavyotaka wanatutesa na kutuua.
Shame!
Kwahiyo kuhamasisha watu wanunue barakoa ni uhaini? Basi wanaouza vilipuzi, silaha za jadi na bastola ni waahini pia maana wanahamasisha watu kuuaNimeona stakabadhi za mahakama Niffer na wengine 22 washtakiwa kwa kosa la kula njama (conspiracy to commit offence) pamoja na kosa la UHAINI.
=========
Kutokana Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam leo, Ijumaa Novemba 07.2025, Mfanyabiahara Jenifer Jovin (Niffer) na wenzake 21 wamesomewa mashtaka matatu (3) ya uhaini
Kosa la kwanza linalowahusu washtakiwa wote 22 ambapo ni kwamba kwa pamoja wamekula njama ya kutenda kosa au kupanga uhalifu ambao ni uhaini
Kosa la pili ambalo ni la uhaini linawahusu washtakiwa 21 isipokuwa mshtakiwa mmoja pekee ambaye ni Niffer, ambapo washtakiwa walianzisha nia ya kuzuia uchaguzi Mkuu 2025, na kutishia mamlaka na wakatekeleza nia hiyo kwa kufanya vurugu zilisababisha uharibifu wa mali za umma,
Na kosa la tatu la uhaini pia linamuhusu mshtakiwa namba moja pekee ambaye ni Niffer, ambapo alihamasisha watu kuvuruga uchaguzi Mkuu 2025 na kuhamasisha umma kununua barakoa za kuzuia mabomu ya machozi kutoka dukani kwake.
Ujinga umemponza. Aliyoa tangazo Kwenye social media ya kuwa anauza barakoa ambazo ziko.suitable Kwa maandamano, zinaficha uso na zinafanya usipate athari ya mabomu. Na Kwa upofu zaidi alianzisha WhatsApp group kuratibu biashara yake huku hajui ya kuwa miongoni mwan group member ambao aliwa recruit wamo watu wa idara Maalim.Hivi kuna kingine alichofanya huyu binti zaidi ya ile video ya challenge? Nimemuonea huruma sana
Hawa walikuwa mbele ya muda walikuwa maandamano yatatokea na kwa sababu polisi walishatabiri wenyewe nini kutokea siku gen z wakiandamana (kuchoma mali za/na wanaojihusisha na sisiem) basi siku ile wamemkamata huyo Binti wakamfungulia kesi ya kuhamasisha vijana kuchoma moto vituo vya mafuta na kufanya vurugu.Hivi kuna kingine alichofanya huyu binti zaidi ya ile video ya challenge? Nimemuonea huruma sana
Inasikitisha sana hii nchi.Sio rahisi hivyo ukiangalia wateja wake wengi wako Tanzania
Na unajua atachukua mda gani kukaa mahabusu anaweza akaa mahabusu mpaka kutoka biashara zake zimefilisika zote na itambidi aanze upya
Jamhuri yawapiga kesi ya Uhaini watanzania 98 kufuatilia Maandamano ya Oktoba 29, 2025.
Katika Orodha hii, yupo Mfanyabiashara maafuru Jennifer Jovin, Maarufu kama Niffer.
Kesi hii imepangwa kusikilizwa kwa hatua za awali kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam.
Udhalimu hauwezi kushinda haki. Tutashinda.
View attachment 3498529
View attachment 3498525View attachment 3498526View attachment 3498527
Namshauri akichomoka hapa (endapo atachomoka, maana kwa sasa mahakama za bongo haziangalii vifungu vya sheria ila amri kutoka juu) afunge biashara zake Tanzania (Dar na kule Dodoma) kisha apeleke nchi zenye usalama, Kujielewa na rule of law.
Hii Tanzania ya sasa ni nchi ya kususiwa na kutelekezwa na Kila mtu mwenye akili timamu.
Kakikundi ka watu Fulani kamejipa umungu mtu, kanaamua tukiamka tunaishi vile wanataka na ikiwa kinyume wanavyotaka wanatutesa na kutuua.
Shame!