Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150

Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150

Biashara ukiwa na juhudi lazima ufanikiwe, wanaolalamika biashara ngumu hao wazembe.

Me nilikua tu na wazo la biashara, sikua hata na mia lakini nikaweka juhudi hatimaye namiliki biashara kadhaa za mamilioni hapa mjini.

Nipo nasoma comment za wadau [emoji23][emoji23][emoji23]watu Kumbe wana biashara hewa na mmefanikiwa na hamtuambii
 
20230101_075444.jpg
 
Wala sio uongo. Nina ndugu yangu alianza na 2000 enzi za 1998, sasa anamiliki maduka kadhaa ya jumla anamiliki tata 4, na vihais kama vyote, ila alianzia kwenye uchanja wa miti kuuza pipi, sigara, jojo nk
 
Kuhongwa lazima, mzuri pia ana akili na njaa ya mafanikio, namuona mbali sana yule binti ila kama kawekeza Moyo wake kwa King Kiba ajiandae kwa tukio takatifu hadi atachukua likizo ya miezi sita.
Wabongo hawapendi kuona mafanikio ya mtu,kila mwanamke anahongwa tatizo ni kuendeleza hicho ulichohongwa,,,mbona Kina shangazi wamehongwa miaka yote hawana chochote?Binafsi namuona mbali kamaunavyomuona,apewe tu hongera zake........wadada humu wamekazana kahongwa kahongwa ndio kuhongwa Nako watu wanaangalia akili awekeze wapi,au nadanganya ndugu yangu
 
Mimi ninampongeza sana Niffer kwa kutumia vizuri mapato yatokanayo na K yake. Karibu wanawake wote wajasiriamali wanahongwa. Kama una dada/mama/shangazi yako mfanyabiashara jua lazima wadau watie baraka zao. Mwanamke hata kama katoka familia tajiri lazima atake hela za mwanaume. Tatizo wengi wao hutumia pesa zao vibaya. Jitu halina chochote ila likihongwa linakimbilia kununua iPhone 14. Kinachomponza Niffer ni huo uhaya wake wa kupenda sifa. Binafsi nikipata nafasi lazima nijiunge na kikundi cha wanaume waliopo nyuma ya mafanikio ya Niffer.
🤦🤦🤦🤦🤦Umetisha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada nimechekaaa mnooo.

Sasa yeye Niffer aache kudanganya sasa, atafanya mabinti wa umri wake wajione sio kitu, kumbe yeye anabebwaaa.
Kwani mabinti wengine hawabebwi?waige mfano wa Niffer,sio wakibebwa wanakimbilia I phone na kunywa Hennessy 😅😅😅
 
😂😂
Dah! Inauma sana, unakuta wazee wamejaa kwenye maofisi ya nssf wanazungushwa miaka na miaka na hela ya pensheni hawapewi. Ila niffer na tako lake kubwa anafaidi pensheni za wazee wa watu, tena anahongwa mtu mzito nssf 😂😂. Ndio maana samia anaona atuuze tu 😂
Mna uhakika jamani?ukiambiwa umtaje huyo kigogo wa nssf utamtaja?acheni roho za uchungu tafuteni pesa jamani
 
Back
Top Bottom