Nigeria: Boko Haram wachinja wakulima 43

Nigeria: Boko Haram wachinja wakulima 43

Huwezi kukuta maeneo yenye madhehebu kama ahmadiya,shia n.k kukawa na vurugu,sasa muwepo wavaa suruali fupi ni balaa,ninyi ndio mnaupaka matope uislamu.
[emoji115][emoji115]Soma tena nilichoandika[emoji116][emoji116]
Unajitoa ufahamu!
Usilolijua ni usiku wa giza! Hivi unawafahamu Khawaarij? Au kwa jina lingine Kilaabun nnar?
Ukiwa hujui kitu shughulisha bongo yako kuuliza, usitumie kichwa kama shamba la kufugia nywele!!

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
Nimekuuliza unawafahamu Khawaarij?
Kama hujui kitu uliza kwa wanaoelewa si kila palipo na mkusanyiko wa Sunni kama mnavyoaminishwa.

ISIL, ISIS je ni Sunni hao? Na kama ulikuwa hujui kati ya madhehebu wanaovaa nguo fupi basi ni pamoja na hao Ahmadiyya, shia.

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
 
[emoji115][emoji115]Soma tena nilichoandika[emoji116][emoji116]
Unajitoa ufahamu!Nimekuuliza unawafahamu Khawaarij?
Kama hujui kitu uliza kwa wanaoelewa si kila palipo na mkusanyiko wa Sunni kama mnavyoaminishwa.

ISIL, ISIS je ni Sunni hao? Na kama ulikuwa hujui kati ya madhehebu wanaovaa nguo fupi basi ni pamoja na hao Ahmadiyya, shia.

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
waislamu madhebu nyie ni moton mnaongoza kwa unafiki na ugaidi
 
Unauwa watu wasiokuwa na hatia halafu unasema unapigania dini Mwenyezi Mungu pia wanasema uislamu ni dini ya Amani huu ni unafiki
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Unauwa watu wasiokuwa na hatia halafu unasema unapigania dini Mwenyezi Mungu pia wanasema uislamu ni dini ya Amani huu ni unafiki
Ndugu, hakuna uislam wa hivyo! Hao ni Khawaarij. Ili kuweza kuelewa ingia hata kwenye google katafute maana ya hawaarij au kilabuun nnar (mbwa wa motoni).
Matendo yao wanayoyafanya ni nje kabisa ya uislam, hutumia Uislam kama kava ya kufanya matendo yao.

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
 
Matumizi ya neno kuchinjia kwa binadamu au yawakata koo ni udhalilishaji wa utukufu wa binadamu.Maneno haya pia yanatoa dalili ya upotoshaji kutoka kwa muandishi na dalili za kutia chumvi kwa kilichotokea.Hata muanzishaji mada atakuwa akili moja na hao walioandika kwa maara ya mwanzo.
Maneno halisi yaliyozoeleka tangu zamani kuripoti majanga ya vifo vya binadamu ni watu kadhaa wameuliwa.....au baadhi yao walikufa kwa kushambuliwa na vitu vya makali. Haiwezekani kuwa watu wote hao walichinjwa na kukatwa makoo.
Binadamu anafariki.Wanakufa mbwa,paka n.k
 
Ndugu, hakuna uislam wa hivyo! Hao ni Khawaarij. Ili kuweza kuelewa ingia hata kwenye google katafute maana ya hawaarij au kilabuun nnar (mbwa wa motoni).
Matendo yao wanayoyafanya ni nje kabisa ya uislam, hutumia Uislam kama kava ya kufanya matendo yao.

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
Kwanini msipige vita wanatuhusisha uislamu na matendo ya ugaidi
 
kuna kipindi enzi za kikwete walianza fyokofyoko kuchoma makanisa na wakaanza kulilia Sharia iwepo Tanzania.
Sijui genious kikwete aliwazimaje

Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda walionywa kimya kimya maana hao jamaa ni hatari katika jamii yoyote na ndio maana india hawawataki wahamie kwao na hapo wanawaponza hata madhehebu safi kama shia.
 
Hawana vurugu na mtu,sio kama hao (wasuni) wanaoharibu taswira ya uislamu kwa kuua watu kwa maelfu bila hatia eti wanampigania Mungu,kubaka na kujeruhi pia wakimpigania wanayemsema Mungu.
waislam swafi ni Ahmadiya..karibu mkuu tulisongeshe gurudumu la Allah(saw)
 
Huenda walionywa kimya kimya maana hao jamaa ni hatari katika jamii yoyote na ndio maana india hawawataki wahamie kwao na hapo wanawaponza hata madhehebu safi kama shia.
Cha ajabu wanapenda kukimbilia nchi zilizostaarabika kama France,germany,UK,Canada etc. ila wakishafika huko wakaanza kuwa wengi wanaanza kutaka iwepo Sharia na wanaanza na kujilipua
 
Hawana vurugu na mtu,sio kama hao (wasuni) wanaoharibu taswira ya uislamu kwa kuua watu kwa maelfu bila hatia eti wanampigania Mungu,kubaka na kujeruhi pia wakimpigania wanayemsema Mungu.
Kwasababu shia sio Waislam. Wanaamini kwenye Takiyya, Misingi ya ushia haipo katika Uislam, Mtume Muhammad (S.A.W) kwao sio kitu na wanaamini katika wajukuu wake. Na hadi sasa hawana imani na mengi yafanywayo na waislam, na huko kwao Iran wamejenga Alkaaba yao, kwao miji kama Makka na Madina sio miji mitakatifu bali miji yao mitakatifu ni pamoja na Mash'had na miji mengine yenye makaburi ya maimamu zao.

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
 
Muongozo wa waislam ni Quran hivyo anaepingana na vilivyomo ndani yake huyo amekhalifu!

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
Aagh! kwahyo tuoe tu watoto ambao hata hawajavunja ungo kwa sababu Quran imeamuru...mkuu times Change hii ni 2020 na mtu apasaye kuigwa ni Elon Musk sio an illiterate camel herder aliyeishi jangwani miaka 1000 iliyopita akinywa mikojo na kubaka watu.
 
Cha ajabu wanapenda kukimbilia nchi zilizostaarabika kama France,germany,UK,Canada etc. ila wakishafika huko wakaanza kuwa wengi wanaanza kutaka iwepo Sharia na wanaanza na kujilipua
Hakuna Muislam anaejiripua, hili liko wazi na kama unaongelea jihad basi jihad sio kujiripua! Hata kujitolea kutoa elimu yenye manufaa pia nayo ni jihadi. Ndio maana kila wakati nakumbushia kitu ambacho hamkijui, mnawafahamu Khawaarij? Kwavile hamwafahamu ndio mnaona kila anaevaa kilemba ni muislam.
Huu Uislam mnaousoma kwenye mitandao ndio matatizo yake!

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom