Nigeria tayari, Uislamu unaenda kuimeza Ulaya, wakristo watakuwa dini ya upili

Makobazi Kwa kujifariji
 
kupinga kristo maana yake sio kukataa hayupo,ni kukataa hakufa wala kufufuka.

kwa mkristo hii ni kufuru kubwa.
 
Hili mbona liko wazi,,uislamu utashika dola.
Ndoto zenu za mchana mnachekeshaga sana mbona hamuongei huko uarabuni watu wanahamadini??na ulaya haitawezekana mpango huo coz waislam wanakabwa ulaya hata kusali tu maeeneo mengi ulaya hawaruhusu kujenga msikiti sasa kivp unamaanisha??!!
 
Wazunu wengi wana mtoto 1 tu, waislamu ni watoto 4 hadi 6, na hapo bado wengine wanaendelea kwenda ulaya, mfano hapo majuzi wale wa Afghanistan maaelfu wapo uingereza na ujerumani kwa sasa, ni mwendo wa kuzaliana tu na kuwachorea ramani ndugu zao
Hao wahamiaji wanarudishwa makwao kila leo harafu ulaya uzazi huo unaangaliwa na kingine misikiti hairuhusiwi kujengwa , mnajipa matumaini huku hamjatembea kuona ulaya ilivyo 😂😂🤣🤣
 
Unajipa moyo sana wewe😀😀😀😀tafuta historia ya uingereza uisome kisheria ni nchi ya kikristo madhehebu ya angrikana na makanisa hayo yanaamua mpaka urais wa nchi we unaongea nini badala ujadili uarabuni huko unakazana na uingereza🤣🤣😂😂 utachekwa wewe
 
Fikra zako za ukiazi wewe hivi unafikiri hao wakristo watakubali tu kubadili dini??!!ndio maana marekan ila lengo la kurudisha kuongozwa kidin kikristo kama zamani mpaka sasa muislam haruhusiwi kujenga msikiti marekani mpaka ulaya yote tembea uone wewe, unasubiri uletewe tu habari🤣🤣😂😂 mnajipa moyo nyie😁😁😁
 
Ndo ujue wakristo walivyo na uungwana,ingekuwa nchi za kiislam Kuna wakristo wangethubutu kuzamia na kuzaliana au kupewa vyeo?
 
Ndoto zenu za mchana mnachekeshaga sana mbona hamuongei huko uarabuni watu wanahamadini??na ulaya haitawezekana mpango huo coz waislam wanakabwa ulaya hata kusali tu maeeneo mengi ulaya hawaruhusu kujenga msikiti sasa kivp unamaanisha??!!

Ujerumani wanageuza makanisa kuwa misikiti, na ndio taifa la ulaya linaloongoza kwa kusilimu, ufaransa n.k
 
Kwani tatizo liko wapi hapo? Au wewe ndio una matatizo? Wewe unaakili kuliko hao wazungu? Acha ujinga
 
kupinga kristo maana yake sio kukataa hayupo,ni kukataa hakufa wala kufufuka.

kwa mkristo hii ni kufuru kubwa.
Kwa hiyo kristo maana yake ni kufa na kufufuka!!?..mi nadhani mpinga kristo ni myahudi,kwanza anaamini yesu ni mtoto wa zinaa,pili haamini chochote Cha yesu,tatu ndiye mmiliki wa sehemu kubwa ya teknolojia duniani
 
Waislamu sijui mna shida gani wallahi sasa wakijaa ndo nini?? mmejaa ubaguzi wa hali ya juu mnataka wote wawe waislamu ili iweje?? wapuuzi wenzenu wa talebani wanachokifanya makobazi wakishika dolla ya dunia bora ufee mna mambo meusi ajabu dunia haitakua huru wala sehemu salama.
 
Kwa hiyo kristo maana yake ni kufa na kufufuka!!?..mi nadhani mpinga kristo ni myahudi,kwanza anaamini yesu ni mtoto wa zinaa,pili haamini chochote Cha yesu,tatu ndiye mmiliki wa sehemu kubwa ya teknolojia duniani
kuamini kristo sio unachagua cha kuamini,mission ya Yesu duniani ndio inabeba umuhimj wake,ilikuwa kuja kufa na kufufuka,sasa ukikataa kilichomleta anakuwa kama manabii wengine tu wa mchongo waliokuja nyuma yake.

myahudi ni kama mtu mwingine tu anao uhuru wa kuaminj au kutoamini,tofauti ya myahudi na mwislam ni moja.
myahudi hamkubali Yesu huyu,anaamini yuko mwingine anakuja kwa kazi ile.
mwislam anamkubali Huyu ndiye ila hakufa wala kufufuka.

kuna mpinga kristo hapo na kuna asiyeamini kristo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…