mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,169
- 9,054
Labda walokole kwa WAROMA piga ua galagaza haiwezekani!Kirahisi tu hivyo?
Yaani Aache laga na Kitimoto?![emoji56][emoji76]
View attachment 2232720View attachment 2232721
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda walokole kwa WAROMA piga ua galagaza haiwezekani!Kirahisi tu hivyo?
Makobazi Kwa kujifarijiNchi nyingi za ulaya zinapokea waislamu wengi sana, si ajabu hata kuna mitaa ambayo ni ya waislamu tu (wakristo hawaruhusiwi)
waislamu hujazana kwa hizi mbinu
- Kuomba kuishi ulaya, wengi hupewa ruhusa ya visa kwasababu nchini kwao kuna vita na maisha duni, wakifika ulaya wanaita familia zao.
-Sheria dhaifu kwa wazamiaji - nchi kama za uingereza, ufaransa, n.k hata ukizamia kiharamu sio kesi sana, kuna vyama vya siasa kibao vinalinda wahamiaji haramu na mashirika mengi yanatotoa misaada kwa maharamia.
- Kuzaliana sana ili kuongeza idadi, waislam huwa na watoto 4 hadi 6 ila wakristo wengi hasa wazungu huzaa mtoto moja tu, wengine hawana habari kabisa na ndoa wengine mashoga, n.k
- Kuoa mabinti wa kikristo na kuwabadili dini
- kushawishi wakristo kubadili dini wawe waislamu, hili linafanikiwa mno, imefikia kipindi makanisa yanabomolewa na kugeuzwa misikiti
Kwenye hesabu kuna kitu kinaitwa "compunding" ni swala la muda tu ulaya itakuwa chini ya waislamu,
Namba zinaongea, kwa sasa miji majiji kama London yana waislam kibao na Mayor wa London ni muislamu anaepewa sapoti kubwa na waislamu, kadri ulaya itavyozidi kuwa na waislamu wengi basi viongozi wengi watakuwa waislamu na ulaya itakuwa ya kiislamu.
kupinga kristo maana yake sio kukataa hayupo,ni kukataa hakufa wala kufufuka.Mpinga Kristi anapinga nini!?..Kama waislam ndiyo mpinga kristo mbona Imani yao haipingi kristo!!...wanaamini kazaliwa kwa uwezo wa mungu na mwanamke bikira,alikua alifanya maajabu,alikua akitawadha kabla ya kuswali Kama waislam,akisujudu Kama waislam
Ndoto zenu za mchana mnachekeshaga sana mbona hamuongei huko uarabuni watu wanahamadini??na ulaya haitawezekana mpango huo coz waislam wanakabwa ulaya hata kusali tu maeeneo mengi ulaya hawaruhusu kujenga msikiti sasa kivp unamaanisha??!!Hili mbona liko wazi,,uislamu utashika dola.
Hao wahamiaji wanarudishwa makwao kila leo harafu ulaya uzazi huo unaangaliwa na kingine misikiti hairuhusiwi kujengwa , mnajipa matumaini huku hamjatembea kuona ulaya ilivyo 😂😂🤣🤣Wazunu wengi wana mtoto 1 tu, waislamu ni watoto 4 hadi 6, na hapo bado wengine wanaendelea kwenda ulaya, mfano hapo majuzi wale wa Afghanistan maaelfu wapo uingereza na ujerumani kwa sasa, ni mwendo wa kuzaliana tu na kuwachorea ramani ndugu zao
Unajipa moyo sana wewe😀😀😀😀tafuta historia ya uingereza uisome kisheria ni nchi ya kikristo madhehebu ya angrikana na makanisa hayo yanaamua mpaka urais wa nchi we unaongea nini badala ujadili uarabuni huko unakazana na uingereza🤣🤣😂😂 utachekwa weweVyama vya siasa vinatafta mtaji wa kura za uhakika kupitia uislamu, hivyo vyama vinalinda sana waislamu na hata wakija kwa njia za panya wanapewa uraia....
Mfano kwa sasa jiji la london, Mayor wake ni muislamu na anapendwa sana na waislamu wengi, huu ni mwanzo tu, kuni zinachochewa moto.
Fikra zako za ukiazi wewe hivi unafikiri hao wakristo watakubali tu kubadili dini??!!ndio maana marekan ila lengo la kurudisha kuongozwa kidin kikristo kama zamani mpaka sasa muislam haruhusiwi kujenga msikiti marekani mpaka ulaya yote tembea uone wewe, unasubiri uletewe tu habari🤣🤣😂😂 mnajipa moyo nyie😁😁😁Ni mkakati kabisa kabisa wa islamic religion kuiteka ulaya na marekani kwa studies zao wanasema mpaka 2050 the whole of europe na america about 90% itakuwa islam njia wanazotumia ni
Migration
Kuzaliana sana ili kuongeza idadi
Kuoa mabinti wa kikristo na kuwabadili dini
Mwambie huyo anajipa moyo tu 😂😂🤣🤣🤣Na kuzaana kote Kenya waislamu hawafiki 15%
Ndoto zenu za mchana mnachekeshaga sana mbona hamuongei huko uarabuni watu wanahamadini??na ulaya haitawezekana mpango huo coz waislam wanakabwa ulaya hata kusali tu maeeneo mengi ulaya hawaruhusu kujenga msikiti sasa kivp unamaanisha??!!
Ndo ujue wakristo walivyo na uungwana,ingekuwa nchi za kiislam Kuna wakristo wangethubutu kuzamia na kuzaliana au kupewa vyeo?
Tatizo la wakishakuwa wengi wanaanza kuwa wabaguzi kuliko wazungu,sasa hivi wanakimbilia kanada kwa wingiNakuambia wazungu walishachelewa sana kwenye hili.
Kwa hiyo kristo maana yake ni kufa na kufufuka!!?..mi nadhani mpinga kristo ni myahudi,kwanza anaamini yesu ni mtoto wa zinaa,pili haamini chochote Cha yesu,tatu ndiye mmiliki wa sehemu kubwa ya teknolojia dunianikupinga kristo maana yake sio kukataa hayupo,ni kukataa hakufa wala kufufuka.
kwa mkristo hii ni kufuru kubwa.
kuamini kristo sio unachagua cha kuamini,mission ya Yesu duniani ndio inabeba umuhimj wake,ilikuwa kuja kufa na kufufuka,sasa ukikataa kilichomleta anakuwa kama manabii wengine tu wa mchongo waliokuja nyuma yake.Kwa hiyo kristo maana yake ni kufa na kufufuka!!?..mi nadhani mpinga kristo ni myahudi,kwanza anaamini yesu ni mtoto wa zinaa,pili haamini chochote Cha yesu,tatu ndiye mmiliki wa sehemu kubwa ya teknolojia duniani