Nigeria tayari, Uislamu unaenda kuimeza Ulaya, wakristo watakuwa dini ya upili

sasa nikimuomba wewe unachelewa kuwahi mabikra 72 au???

kimsingi Yesu ni Mungu wa wakristo,kama kuna mtu anaitwa Issa mkamnasibisha na Yesu ni kukosa adabu.
 
sasa nikimuomba wewe unachelewa kuwahi mabikra 72 au???

kimsingi Yesu ni Mungu wa wakristo,kama kuna mtu anaitwa Issa mkamnasibisha na Yesu ni kukosa adabu.
Kila mtu anajua kwamba yesu aliyekatwa govi na kusulubiwa ni binadamu ni mungu wa wakristo
 
Ni sawa tu kwani kuna tatizo? Cha msingi wapige kazi tu, uchumi uinuke.
 
Kwani ulaya kukiwa na waislamu wengi Ndio Nini?
 
uislamu ukiimeza ulaya sasa inakusaidia nini wewe mtoa mada ,hebu muwe mna posti nyuzi zinazohusu mambo ya maana......
 
Kila mtu anajua kwamba yesu aliyekatwa govi na kusulubiwa ni binadamu ni mungu wa wakristo
na yule anayeweza kila kitu ila hawezi kuvaa mwili wa binaadam ni Allah tu[emoji16][emoji16][emoji16].
 
Mkuu naomba tusaidiane tufanye kampeni kuishawishi serikali ili hii sensa ijayo tuweke kipengele cha dini ili tupate majibu ya uhakika?
Ya nini tuandikie mate na wino upo?
Na kwanini wakristo wote wanapinga hili la khesabiwa kwa dini

Waislamu ni wengi, kama sio 70% basi 75%
 
Allah haihitaji hio ujinga wa kuvaa mwili,ateswe,afufuke..halafu kiwe nini!?
kiwe nini vipi??kwani wakati Allah anamshushia maandishi mtume asiyejua kuandika na kusoma alikwepa ghalama ya ada ama ilikuwaje???wenye elimu hawakuwepo au!!!

usimkadirie Mungu kindezi ndezi kama unachagua mke wa nne maalim.
 
Ujerumani wanageuza makanisa kuwa misikiti, na ndio taifa la ulaya linaloongoza kwa kusilimu, ufaransa n.k
Kumbe ndio sababu mchezo wa kisilamu umeongezeka
 
kiwe nini vipi??kwani wakati Allah anamshushia maandishi mtume asiyejua kuandika na kusoma alikwepa ghalama ya ada ama ilikuwaje???wenye elimu hawakuwepo au!!!

usimkadirie Mungu kindezi ndezi kama unachagua mke wa nne maalim.

Hoja zenu ni MFU
 
Nakupa ushahidi ww unajikomba kwenye uislamu lakini haukuhusu, wenye Deen yao ni warabu!
[emoji116][emoji116]
وَكَذَٰلِكَ أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لِّتُنذِرَ أُمَّ الْقُرَىٰ وَمَنْ حَوْلَهَا وَتُنذِرَ يَوْمَ الْجَمْعِ لَا رَيْبَ فِيهِ ۚ فَرِيقٌ فِي الْجَنَّةِ وَفَرِيقٌ فِي السَّعِيرِ

[ ASH-SHUURA - 7 ]
Na namna hivi tumekufunulia Qur'ani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Mama wa Mji wa Makka na walio pembezoni mwake. Na uhadharishe na Siku ya Mkutano, haina shaka hiyo. Kundi moja litakuwa Peponi, na kundi jengine Motoni.

وَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِينَ

[ ASH-SHUA'RAA - 214 ]
Na uwaonye jamaa zako walio karibu nawe.

Niwekee ushahidi ww mndenge uislamu unakuhusu![emoji101][emoji101]

WAARABU ni Waislamu wa kweli na kizazi cha kweli cha Mtume Muhammad (SAW).

“Wasio—Waarabu ambao bila aibu, walijiita Waislamu ni Waongofu wa wazi tu ambao ni waoga wa hali ya chini na nafsi zisizo na heshima Waliozidiwa kwa urahisi na Upanga wa Mwenyezi Mungu, hivyo walistahili kuitwa Mbwa wetu.”View attachment 2232809
 
Akili ndogo ni akili ndogo tu,
Kwa hiyo quran ingekuja kwa kimakonde waislamu wangekuwa ni wamakonde tu?
Hivi ni lazima lugha moja itumike lakini iwakilishe wote,
ALLAH mtukufu amesema :
انا خلقناكم من ذكر وانثى وجعلناكم شعوبا وقبائل لتعارفوا ان اكرمكم عند الله اتقاكم
Yaani
Tumewaumba waume na wake, na tukawajaalia mataifa na makabila mbali mbali ili mujuane tu, hakika aliye bora mbele ya ALLAH ni yule mwenye kumcha
So lugaha ni njia tu ya kuelewana na kujuwana
Kuhusu kuonya watu wa karibu kuna sababu nnuzul ya aya so katafute utajijibu bila shaka
Halafu kule kwa wazungu kimetumika kipare?
Au nako pia huamini?
Uko wapi ili twende sawa
 
kiwe nini vipi??kwani wakati Allah anamshushia maandishi mtume asiyejua kuandika na kusoma alikwepa ghalama ya ada ama ilikuwaje???wenye elimu hawakuwepo au!!!

usimkadirie Mungu kindezi ndezi kama unachagua mke wa nne maalim.
Alipoamua kumtia mimba bikira,azae kwa shida..wasiokuwa bikira hawakuwepo!?
 
Nimeamini ashki majunun[emoji849][emoji2957]
Hiyo aya uliyoweka ndio ushahidi wa ww mndenge nawe umo kwenye uislamu??[emoji33][emoji33]
Hapo Muhammad aka baba Fatuma anawapa daawa Jamaa zake ww mndenge yanakuhusu??
Pokea huko na majibu dhaifu!
View attachment 2233160
 
Kwa kuwa huna elimu huwezi kuielewa,
Ngoja nikupe nyingine,
ALLAH Mtukufu anasema
وما ارسلناك الا رحمه للعالمين
Yaani
Hatukukupeleka ewe muhammad illa uwe ni rehma kwa viumbe wote,
Sasa hapo niambie kuwa viumbe ni waarabu peke yao?
 
Allah haihitaji hio ujinga wa kuvaa mwili,ateswe,afufuke..halafu kiwe nini!?
Kwa allah Sawa umepatia manake hana uwezo!
Lakini kwa Mungu wetu Atakalo Huwa na Hana MC!
Yeye Imempendeza Kihivyo!
Na Amewahi Kusema!
[emoji116][emoji116]
Isaya 55
8 Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema Bwana.

9 Kwa maana kama vile mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi, kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu.

10 Maana kama vile mvua ishukavyo, na theluji, kutoka mbinguni, wala hairudi huko; bali huinywesha ardhi, na kuizalisha na kuichipuza, ikampa mtu apandaye mbegu, na mtu alaye chakula;
 
Matayo15:24 'akajibu akasema sikutumwa Ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israel'...anayetumwa ni mtumwa/mtume...na ukumbuke ni kwa ajili ya kondoo waliopotea wa Israel,hakuna muisrael anaitwa mgeni....NB:katumwa,aliyemtuma Nani!?
 
mbona unapiga tik tak huku umevaa msuli??
Weka ushahidi, ALLAH anampa mafunuo hayo baba Fatuma!
Unatuwekea mashairi hata hujui chanzo chake[emoji849][emoji12]
View attachment 2234585
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…