mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
sasa nikimuomba wewe unachelewa kuwahi mabikra 72 au???Wayahudi hawamsubiri yesu,wanamsubiri masihi ambaye sifa zake ni tofauti kabisa na yesu..anayesaiwa masihi na wakiristo wayahudi wanasema hakutimiza prophecies za kimasihi...issa wa waislam akizaliwa na mwanamke bikira,jina lake Maryam,alikua muisrael,alisakamwa asulubiwe,alifanya maajabu..Kama yesu wa wakiristo ni tofauti na huyo hakuna tabu,endelea kumuomba akupeleke ufalme wa milele
kimsingi Yesu ni Mungu wa wakristo,kama kuna mtu anaitwa Issa mkamnasibisha na Yesu ni kukosa adabu.