Niishi vipi na uyu baba wa watoto wangu

Inawezekana alianza kutafuta mume mwingine baada ya huyu wa sasa kuzingua
 
🤣🤣🤣 watu kwa kufukua makaburi hamjambo.
 
Mi swali langu,linaweza kuwa la kipuuzi lkn linamaana Sana kwenye hiyo ndoa uliyopo,Je! Anakuomba mzigo? Ukinijibu nitakuja kuweka neno
 
asante kitu ambayo nakumbuka toka tumeanza kuishi na kuzaa watoto hawa wawil ni ...toka tupo wawil mimi nayy alikuwa anatoa ivoivo ela au ananunua chakula minapika kipindi icho gharama za matumizi bado azijapabda na tunaishi wawil tumekuja kuongeza familia nayo ni vilevile tu najibana nakanae chini namuliza nini tatzo baba mbona ivi na vile unalalamika yeye ajibu kitu chochtote utaongea Ukimaliza ananiambia aya ndo anaondoka kesho ni vilevile...na nikijaribu kuripot nyumbn awaelew na sijafunga nae ndoa niseme ntaenda kwa washenga au mapadri ..ukiuliza kuhus kunywa anajibu anaondoa mawazo .na anatumia jasho lake....na baadae anasema we uridhiki na iyo ela ila kunawengine wanaitamani awaipati kwaiyo angalia jinsi yakufanya kuwa na akili timamu
 
Nimekuonea huruma japo sijajua background yako vizuri. Una moyo wa uvumilivu sana na nyumbani wamekuona hivyo ndo maana wamekurdisha kwa huyo mwanaume. So sad kwa unayopitia, jinsi unavyo jali future ya watoto wako, jinsi unavyo jinnyima familia ipate chakula, jinsi unavyo mvumilia mwanaume mlevi. Hakika kuna wanawake ambao ni waaminifu sema ndo hivyo huwa wanaangukia pabaya.
 
Thank you watt wangu ndo waliobaki acha kupambana nao
 
Pole dear...nimesikitika aisee...nikiona hivi visa vya wanaume wengine nazidi kumshukuru Mungu kwa ajili ya mume wangu na kumuombea zaidi...
Jitahidi ufanye chochote hata kidogo huku ukimuomba Mungu...
 
Sanaaa
 
Mbona hapa unasema we ni mwalimu..kwann usichangie kipato kwenye matumizi ya familia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…