ROOM 47
JF-Expert Member
- May 23, 2022
- 2,301
- 7,460
Wanaume hatujawah kuwa na mtetezi ndomaana tukufa na stress sanaKabisa mkuu,unaafikiria vyema sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume hatujawah kuwa na mtetezi ndomaana tukufa na stress sanaKabisa mkuu,unaafikiria vyema sana
Inawezekana alianza kutafuta mume mwingine baada ya huyu wa sasa kuzinguaNdio huyu mume uliyekua unamtafuta?
Nina miaka 29, natafuta Mume
Natafuta mume serious, nina miaka 27, ni maji ya kunde. Mimi ni mwalim shule ya private ila nina watoto wawili. Natafutaa mchumba kuanzia Miaka 30 na kuendelea, akiwa serious mpaka kwenye ndoa.www.jamiiforums.com
🤣🤣🤣 watu kwa kufukua makaburi hamjambo.Ndio huyu mume uliyekua unamtafuta?
Nina miaka 29, natafuta Mume
Natafuta mume serious, nina miaka 27, ni maji ya kunde. Mimi ni mwalim shule ya private ila nina watoto wawili. Natafutaa mchumba kuanzia Miaka 30 na kuendelea, akiwa serious mpaka kwenye ndoa.www.jamiiforums.com
YeahInawezekana alianza kutafuta mume mwingine baada ya huyu wa sasa kuzingua
Wew siumejifanya unauchunguu kadadek nini sasa mzee ushaambiwa wanawake nuxKudadadadekii
Ahahahah mkuu, hii story inasikitisha man !.Wew siumejifanya unauchunguu kadadek nini sasa mzee ushaambiwa wanawake nux
Mi swali langu,linaweza kuwa la kipuuzi lkn linamaana Sana kwenye hiyo ndoa uliyopo,Je! Anakuomba mzigo? Ukinijibu nitakuja kuweka nenoIpo ivi mm ni mama ninamiaka 29 sasa ..naombeni busara zenu kuishi vipi na uyu mwanaume ..tumezaa watoto wawil apa kati tuliachana lakini nyumbani awakuelewa na hawataki kusikia ilibdi niludi kulea watoto shida ni . tunaishi mimi na baba watoto na wifi yangu pamoja na watoto wawil wadog ambao awajafika miaka 5 pamoja na mtoto wake niliemkuta wakidato cha kwanza..ivyo familia ya watu sita lakin mwanaume anakuachia sh elf 5 tu siku nzima na hapo Amna kitu chochtote ndani na watoto ni wadogo ambao inabdi asubui upike chochte wapate kula uku tukisubir mchana na Sio mwanaume anauwezo hapana uwezo upo wakawaida na ela kidogo anapata shida ni ulevi namarafiki akipata ela atawaita marafiki zake watakaa watakunywa uku nyumbani inafika mda mtt mdogo anamiak 4 anatakiwa kuanza nasary lakini baba kumlipia mtoto elf 15 aende shule awez anasema ana hela akija akakuta nyumbn nmepika ugal na mlenda yeye ali anaenda kula vibandani tu ..kinachoniuma roho ni uyu motto miaka 4 anaingiza mitano ata kuanza shule yupo tu nyumbani jamani wanajamii naombeni uniambie niishi vip walau niweze kubana matumizi walau nipate mtaji tu niwe naingiza ata elf 1000 niweze kumpelek mtoto shule nimnunuliege na vitu vyake nisiwe mtu wa kugombana nae kila siku maana ata ukiongea sana yeye akujib n yule mtu anaekaa kimya tu utaona vitendo nawaza kuondok lakin apana bdo sijajipanga na watoto hawa na nyumbani awataki swala la kuondoka ata kidogo ..ivyo tu nahitaji ushaur niishi nae vip ili walau iyo anayotoa iwe inabaki nijiwekee akiba ata 500 kwa siku nipate mtaji najua kupika vitafuno mbalimbal ..unakuta unajibana lakin inashindikan unaishia kupata na madeni madukani nmechoka san nahitaji tu faraja walau roho yangu utulie moyo mzito sana wanajami nifanye walau nilipe Ada ya mtoto aende shule mimi nipambane mwenyew ...nb sim niliyonayo sio yakuuzika labda kama skrepa..Kwaiyo naombeni tu faraja yenu niishi vip walau nibane matumizi .. Ile kupata changu binafsi ata kidogo lakn kinikidhi maitaji yangu na watoto wangu ..moyo unaniuma sana nahitaji faraja yenu tu labda moyo utatulia na mtanipa njia nzuri yakuweka akiba sitatoka kama nilivyo kupitia izi huu ..samahani kama nmekosea
A hahaha ukute mwamba anaacha 50k sema vikoba vimembanaaaaAhahahah mkuu, hii story inasikitisha man !.
Yani unaweza ukapoteza kabusa focus ya kuzingatia facts za msingi kisa huruma, wanawake nyoko sana hawa 😂
asante kitu ambayo nakumbuka toka tumeanza kuishi na kuzaa watoto hawa wawil ni ...toka tupo wawil mimi nayy alikuwa anatoa ivoivo ela au ananunua chakula minapika kipindi icho gharama za matumizi bado azijapabda na tunaishi wawil tumekuja kuongeza familia nayo ni vilevile tu najibana nakanae chini namuliza nini tatzo baba mbona ivi na vile unalalamika yeye ajibu kitu chochtote utaongea Ukimaliza ananiambia aya ndo anaondoka kesho ni vilevile...na nikijaribu kuripot nyumbn awaelew na sijafunga nae ndoa niseme ntaenda kwa washenga au mapadri ..ukiuliza kuhus kunywa anajibu anaondoa mawazo .na anatumia jasho lake....na baadae anasema we uridhiki na iyo ela ila kunawengine wanaitamani awaipati kwaiyo angalia jinsi yakufanya kuwa na akili timamu@vee vivian sitaki kukupinga unachokipitia ila nnaimani huyo mmeo sio mtu mbaya ila pengine kuna mambo anayapitia nawewe unadhani labda nitabia yake mbovu,,jaribu kua chanya imean uwe mwanamke chanya katika mapito yenu as a family ikiwemo kumuombea kwa Mungu abadirike ikiwemo kutafuta watu wenye heshima wapate kumshauri..jitihada zako zakumhurumia na kujiweka upande wake zitafanya akuone ww kama msaada nasio balaa kwake.itafanya aanze kukueleza changamoto anazozipitia ikiwemo kubadirika nakukuachi buku ten ten badala ya buku5 tano,
Wanaume wengi hupitia changamoto nyingi sana zinazopelekea kubadirika katika tabia na utoaji huduma majumbani...kitu ambacho wanawake wengi hudhania hali iko vilevile pengine labda anapitia madeni ,au kazini boss kanuna au dili zake zimebuma wanawake waliowengi majumbani hawatoi msaada japo wakimawazo tu juu yachangamoto za waume zao bali huishia kulaumu tu kwa mabadiriko ya huduma nyumbani,hali hiii ya mwanmke kumlaumu mumewe hufanya mwanaume atafute msaada wa changmoto anazozipitia nje kwani mke aliyenaye hawezi kutoa msaada wowote japo wakimawazo au hata kujishughulisha nachochote Kile ikiwemo kubana matumizi wakati wadhiki ikiwemo kunipambania family.mwanmke automaic hugeuka mzigo mzitosan wa misumari kichwani kwa mumewe.
Amin natak kupambn Mungu aniongozeWe ni mwanamke mpambanaji, I appreciate you.!
Naish mbezi ..mpigi magoe ...mwisho unashuka unaelekea kidimu naishi kidimuUnaishi wapi mama? Ili watu waje wathibitishe haya kwa kukujulia hali...kisha uweke namba tukuchangie hata elfu tano tano ili upate walau ela ya kufanya kakitu
Thank you watt wangu ndo waliobaki acha kupambana naoNimekuonea huruma japo sijajua background yako vizuri. Una moyo wa uvumilivu sana na nyumbani wamekuona hivyo ndo maana wamekurdisha kwa huyo mwanaume. So sad kwa unayopitia, jinsi unavyo jali future ya watoto wako, jinsi unavyo jinnyima familia ipate chakula, jinsi unavyo mvumilia mwanaume mlevi. Hakika kuna wanawake ambao ni waaminifu sema ndo hivyo huwa wanaangukia pabaya.
SanaaaNimekuonea huruma japo sijajua background yako vizuri. Una moyo wa uvumilivu sana na nyumbani wamekuona hivyo ndo maana wamekurdisha kwa huyo mwanaume. So sad kwa unayopitia, jinsi unavyo jali future ya watoto wako, jinsi unavyo jinnyima familia ipate chakula, jinsi unavyo mvumilia mwanaume mlevi. Hakika kuna wanawake ambao ni waaminifu sema ndo hivyo huwa wanaangukia pabaya.
Mbona hapa unasema we ni mwalimu..kwann usichangie kipato kwenye matumizi ya familia?Ndio huyu mume uliyekua unamtafuta?
Nina miaka 29, natafuta Mume
Natafuta mume serious, nina miaka 27, ni maji ya kunde. Mimi ni mwalim shule ya private ila nina watoto wawili. Natafutaa mchumba kuanzia Miaka 30 na kuendelea, akiwa serious mpaka kwenye ndoa.www.jamiiforums.com